Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Una umri gani?
 
Mimi naona kama wewe ndio humtaki huyo binti baada ya kuwa umemzalisha. Hapa unachofanya ni kutafuta kisingizio cha kumpiga chini.
Kama ningekuwa simtaki ningemuambia kitambo
 
Ongea na mama uso kwa uso. Mwambie nia yako kwa huyo mzazi mwenzio, then msikilize anamaoni gani baada ya kukaa nae kwa muda huo. Hakuna mkamilifu, labda usio kabisa
Nitaongea nae soon na nitamuuliza yeye amemuonaje huyo binti
 
Sasa maneno yote hayo ya kejeli ya nini? Kama umekuja kwa lengo la kutoa ushauri fanya hivyo sio kuporomosha unnecessary drama
Huo ndio ukweli, mwambie mama Ako akutafutie mke atakaeridhika nae, too bad umeshamzalisha, ukimpata mwingine karipoti Kwa mama Yako kwanza mpunguze idadi ya masingle maza
 
Tamaa za ujana ndiyo zimekusukuma lakini naona bado hujakomaa kuweza kufanya maamuzi ya kuanzisha familia. Natoa pole nyingi kwa huyo binti aliyetanua miguu yake kwako. Hilo liwe somo kwa mabinti, unamchanuliaje mwanaume mpaka anakujaza mimba wakati hata hajakulipia magari wala NDOA?
 
Huo ndio ukweli, mwambie mama Ako akutafutie mke atakaeridhika nae, too bad umeshamzalisha, ukimpata mwingine jaripoti Kwa mama Yako kwanza mpunguze idadi ya masingle maza
Kutafuta mke sio jukumu lake, Mimi ndy natafuta then yeye ananipa ushauri
 
Kweli kuanzisha familia kwa sasa sina mpango huo na huyo binti anajua, hata wazazi wake niliwaambia kwamba bado muda....
 
Wewe ni mpuuzi kwani anae oa ni wewe au Mama yako em acha ujinga wewe ni binadamu kamili na una maamuzi yako achana na uyo Mama yako ambae inaonekana kabisa ni one of the toxic woman's na ni narcissist mzuri tu na ukizubaa ata kuharibia maisha yako yote la mwisho acha kua mtoto wa Mama kwasababu tayari ushaanza familia yako mpya "The Family You Create Is More Important Than The Family You Came From" OVER
 
Brother, mimi bado nipo home na ni mwanafunzi pia.. hata swala la ndoa ni baadae sana, nahisi labda Mzazi wangu ameona huyu binti hawezi kuvumilia mpaka nihitimu masomo
Huyo binti kwanini ukampa mimba wakati unafahamu kuwa haupo tiyari kumuoa? Na unavyotaka kumuacha unatarajia Nani atamuoa?
 
Wew unafeli sana,

Wanawake wana upuuzi mwingi, usikute mama ako ana bifu la kiuwanawake na huyo mke wako,

TEngeneza familia yako, sio ya mama ako
Mama yangu ni mtu mwenye hekima na busara kubwa, hawezi kuwa na bif na mtoto mdogo
 
Labda angefunga sababu ni zip
 
Labda akupe sababu kam za msingi sawa
 
Mama yangu ni mtu mwenye hekima na busara kubwa, hawezi kuwa na bif na mtoto mdogo
Huyo binti kwanini ukampa mimba wakati unafahamu kuwa haupo tiyari kumuoa? Na unavyotaka kumuacha unatarajia Nani atamuoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…