kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Thread starter
-
- #121
Mkuu, kwa sasa sina mpango wa kuoa, alikuja kumleta mtoto Bibi yake amuone tu na si vinginevyoKwanza hujaeleza baba yako yupo wapi, kama amekufa baba mdogo/mkubwa wanasemaje? Baraka hazitoki kwa mzazi mmoja tu wa kike peke yake. Baraka ni pande 2 na za baba ni final n conclusive.
Ni kweli mama yako ni mtu wa hekima sana, lakini ulitakiwa kumpa hyo nafasi kabla hujamtia mimba huyo binti.Ni kweli sio kila kitu lazima mzazi ashauri, lakini jambo kama hili ni muhimu kumpa nafasi ya kushauri, pia Mama yangu ni mtu wa hekima sana, namuamini katika maamuzi yake
Sawa mimi ni kiazi nakubaliWewe nikiazi Sana 🍠🍠
Kumuoa ni jambo ambalo linahitaji muda kidogo, kwa sasa sipo tayari kuanzisha familiaNi kweli mama yako ni mtu wa hekima sana, lakini ulitakiwa kumpa hyo nafasi kabla hujamtia mimba huyo binti.
Kwa sasa hekimq ni kumuoa huyo bint and make familly out of her.
Umenitusi kwa kosa gani nililo lifanya?Nimekutusi moyoni ......
Alafu badae mnakuja kuwakandia ma single mama hapa.
Ukilifanya hili unalotaka kulifanya na zaburi 109 na iwe juu yako
Sawa, ila mimi sina tatizo na mzazi mwenzangu, tunaelewana vizuri na naamini tutakuwa pamoja ila tu lazima nimuulize bimkubwa maoni yakeKuna mambo nayaona katika jamii, hua najisemea kuzaliwa mwanamke ni mtihani mkubwa sana.
Hili la mleta maada ni moja wapo.
1.unawezaje kuamini mawazo ya mtu mmoja mama tu?,huoni kama atakua bias?1. Mzazi ni mama tu
2. Baba hayupo
3. Bado hajanipa viashiria na nitamuuliza aniambie
4. Tayari nimezaa na siku hazirudi nyuma
5.sina mpango wa kuoa kwa sasa mpaka nimalize masomo
Wapi nimesema nataka kumuacha?Akikutia bisu la kifua, muanze kusema wanawake wana roho mbaya.
Umazalishe, ukamtambulishe kwenu afu umuache kisa mama kasema, dadeki
Kila mtu ana uhuru wa kuleta uzi wowote kwa wakati wowote, ilimradi asivunje sheria za jukwaasasa hauna mpango wa kuoa hadi umalize shule kwa nini umeleta huu Uzi hapa?,si usubirie hadi umalize shule ndio uje kuomba ushauri?
Hayo siyo maneno yangu, umetunga uongo.Umeshazaa nae mpaka home umempeleka na kama hana shida yoyote ile binafsi then unataka umuache kwasababu hiyo,mkuu utakuaumemtendea ukatili wahali ya juu sana.
Lazima niongee na Mzazi wangu kwanza, pia swala la kuoa ni baadae na sio sasaVita ya Mke na Mzaa chema (Mkwe wa kike) huwa ni ngumu sana.
Hutoboi mkuu "as long as" Mama yako yupo hai, muoe ila hakuna rangi ataacha kuona huyo mkeo.
Umeona neno "kama hana shida yoyote" au kiswahili sio ligha yako boss?Hayo siyo maneno yangu, umetunga uongo.
Sijasema hana shida yoyote, ila nimesema nahisi Mama kuna vitu ameviona, na nataka nimuulize aniambie
Nimesema mwanzo alikuja na akaookelewa na akaishi bila shida yoyote, sijamaanisha kwamba hivyo ulivosema weweUmeona neno "kama hana shida yoyote" au kiswahili sio ligha yako boss?
I already think like a Man, there is no need to watch anythingTazama 'Think like a man'.