Mzazi wangu hajaridhika na mchumba wangu, hajasema lakini nimeona ishara

Sio kwamba yeye ndyo afanye maamuzi, ila nataka aniambie ni sababu gani ambazo zinafanya asimkubali huyu binti
Kama ana chuki binafsi dhidi yake je? We muangalie binti kama anafaa kwako oa, hataenda kuishi na mama yako.
 
Mama yangu ni mtu mwenye hekima na busara kubwa, hawezi kuwa na bif na mtoto mdogo
Hakuna kitu,
Angekuwa na hekima na busara angekulea vema uelewe familia yako unatengeneza wew sio yeye
 
Sawa, naomba tuishie hapo mkuu tusianze kumjadili mzazi wangu kwa style hiyo
 
Hawezi kuwa na chuki binafsi, sasa awe na chuki kwa sababu gani? Mbona alimpokea vizuri tu na hadi leo wanaishi vizuri
Usiusemee moyo wa mtu mwingine semea wakwako, kama hana hayo yote kwanini huisi kuwa hataki umuoe?
 
Habarini ndugu

Baada ya kupata mtoto, ilibidi mzazi mwenzangu aje nyumbani kwetu kumleta mtoto Bibi yake amuone kwani alikuwa na shauku ya kumuona mjukuu wake.

Walikaa kwa kipindi cha miezi kadhaa, na walikaa kwa furaha na amani. Mama yangu alifurahi kwani mwanzo aliona na kusifia tabia nzuri na kujituma kwa binti yule.

Kadri siku zilivyokuwa zinasonga, nikahisi kuna jambo halipo sawa, kila nikiongea na Mama kuhusu mipango ya baadae alikuwa haonyeshi dalili za kubashiri ndoa yangu na binti yule. Nikajua tu hajaridhika nae.

Lakini naamini Mzazi wangu ananijua vizuri na anajua ni kipi kitanifaa na kuendana na mimi, nahisi kuna vitu amegundua kwa binti yule kwa muda aliokaa nae.

Mimi sina tatizo na mawazo na ushauri wa Mzazi wangu, lakini najiuliza je ni sahihi kuendelea kumuaminisha binti huyu kwamba nitamuoa ilihali najua Mzazi wangu hajaridhika nae?

Najiuliza nimwambie mapema kwamba haitowezekana kufunga ndoa hapo badae? Naogopa kumpa maumivu na kumfanya akose amani.......

Ni uamuzi gani wa busara napaswa kufanya wadau? Naombeni ushauri wenu bila kebehi na masihara..

Asanteni.....
Unamuachaje binti wa watu miezi kadhaa na mama yako?
Hapo ndipo ulipokosea, ninachokiona mimi ni mama yako anataka binti wa watu awe photocopy yake, yaan anavyokulea mama yako ndivyo na binti akulee wewe. Sio sahihi.
 
Bado hajaniambia sababu ya hayo, akiniambia na Mimi nitachunguza na kujiridhisha
 
Habarini ndugu

Baada ya kupata mtoto, ilibidi mzazi mwenzangu aje nyumbani kwetu kumleta mtoto Bibi yake amuone kwani alikuwa na shauku ya kumuona mjukuu wake.

Walikaa kwa kipindi cha miezi kadhaa, na walikaa kwa furaha na amani. Mama yangu alifurahi kwani mwanzo aliona na kusifia tabia nzuri na kujituma kwa binti yule.

Kadri siku zilivyokuwa zinasonga, nikahisi kuna jambo halipo sawa, kila nikiongea na Mama kuhusu mipango ya baadae alikuwa haonyeshi dalili za kubashiri ndoa yangu na binti yule. Nikajua tu hajaridhika nae.

Lakini naamini Mzazi wangu ananijua vizuri na anajua ni kipi kitanifaa na kuendana na mimi, nahisi kuna vitu amegundua kwa binti yule kwa muda aliokaa nae.

Mimi sina tatizo na mawazo na ushauri wa Mzazi wangu, lakini najiuliza je ni sahihi kuendelea kumuaminisha binti huyu kwamba nitamuoa ilihali najua Mzazi wangu hajaridhika nae?

Najiuliza nimwambie mapema kwamba haitowezekana kufunga ndoa hapo badae? Naogopa kumpa maumivu na kumfanya akose amani.......

Ni uamuzi gani wa busara napaswa kufanya wadau? Naombeni ushauri wenu bila kebehi na masihara..

Asanteni.....
Sababu zipi zinafanya mama yako kutoridhika na uyo binti?
 
Sawa, ila mimi sina tatizo na mzazi mwenzangu, tunaelewana vizuri na naamini tutakuwa pamoja ila tu lazima nimuulize bimkubwa maoni yake
Sijui umri wako,
Ila kama umefika miaka 20, na una akili kama hizi, bas wew ni kilaza,

Unaoa kwa maoni ya watu? Be a man, do whatever the hell you want,
 
Habarini ndugu

Baada ya kupata mtoto, ilibidi mzazi mwenzangu aje nyumbani kwetu kumleta mtoto Bibi yake amuone kwani alikuwa na shauku ya kumuona mjukuu wake.

Walikaa kwa kipindi cha miezi kadhaa, na walikaa kwa furaha na amani. Mama yangu alifurahi kwani mwanzo aliona na kusifia tabia nzuri na kujituma kwa binti yule.

Kadri siku zilivyokuwa zinasonga, nikahisi kuna jambo halipo sawa, kila nikiongea na Mama kuhusu mipango ya baadae alikuwa haonyeshi dalili za kubashiri ndoa yangu na binti yule. Nikajua tu hajaridhika nae.

Lakini naamini Mzazi wangu ananijua vizuri na anajua ni kipi kitanifaa na kuendana na mimi, nahisi kuna vitu amegundua kwa binti yule kwa muda aliokaa nae.

Mimi sina tatizo na mawazo na ushauri wa Mzazi wangu, lakini najiuliza je ni sahihi kuendelea kumuaminisha binti huyu kwamba nitamuoa ilihali najua Mzazi wangu hajaridhika nae?

Najiuliza nimwambie mapema kwamba haitowezekana kufunga ndoa hapo badae? Naogopa kumpa maumivu na kumfanya akose amani.......

Ni uamuzi gani wa busara napaswa kufanya wadau? Naombeni ushauri wenu bila kebehi na masihara..

Asanteni.....
Yuko ni mkeo au mke wa familia yako?? Kama tu haujawahi kujua hakunaga mkwe mzuri kwa mama mkwe.....kama yupo ni mmoja kati ya mia.

Ukitaka kuona ubaya wa mkeo akae na mama ako na dada zako.
 
Kaa na Mama muulize vizuri, naamini kuna kitu ameona na hawezi ruhusu uingie pabaya. Usiogope kwa maneno ya humu, Mama yako mpe thamani na usiache kumsikiliza.
 
Back
Top Bottom