Mzee Akilimali atuomba radhi, lakini amesimamishwa uanachama wa Yanga

Soka la jadi la Tanzania ni pasua kichwa. Simba na Yanga ni kama mapacha, wanafanana sana. Usitegemee jambo jipya sana pale Msimbazi au Jangwani, ni mahali pa wajanja wa mjini kupiga pesa kirahisi. Ninawasikitikia sana wanachama wa Simba na Yanga, na pia ninamsikitikia sana Manji na Dewji. Wanapambana na Upepo tu.

Wote ni Matapeli na wajanja wajanja tu, Dewji alikuja na Proposal ya KUIMILIKI Simba kwa miaka mitano. Manji akaja na Proposal ya kutaka KUIKODISHA Yanga kwa miaka Kumi.
Kamwe simwamini Dewji wala Manji katika hayo. Michezo yote wanaicheza nyuma wa Pazia, hakuna uwekezaji wa kificho, huo ni utapeli tu.
 
Uchawi ni wao siyo wa Yanga. Wachawi ni Simba SC.
 
Manji anaondoka kabla ya kurudisha goli 5!


Idadi ya Makombe aliyo yatwaa akiwa kama Kiongozi wa Yanga SC yanathamani kubwa sana kuliko idadi ya Mabao 5 yenye points 3 zilizoshindwa kukupa ubingwa.

Forza Yanga!
 
Kwa mujibu wa matangazo ya Efm, Mzee Akilimali amesimamishwa na kikao cha Wenyeviti wa Matawi Yanga. Sasa sijui kama hicho kikao ni halali kufanya hayo maamuzi au kina mamlaka ya kuamua hapo ni katiba ya Yanga ndiyo itakayoamua.

wamefanya maadhimio ambayo yatatekelezwa kwa pamoja na mkutano mkuu ambao ni una uhalali kikatiba.


Forza Yanga!
 
Kausoma mchezo.....kaziona bao nane msimu ujao...kaamua akimbie....


Ni heri unifunge bao 8 hata 10. Ila kitu kinachoitwa Ubingwa Mambumbumbu fc hawana uwezo wa kumpiku yanga.

Mara nyingi mnalenga kumfunga Yanga, wakat yeye analenga Ubingwa.

Matokeo ya mitazami hii huzaa matunda ambayo wanayanga huyapenda, na wamchangani fc wanabaki kuimba ile nyimbo ya TFF wanaibeba Yanga.
 
Aibu kubwa kwa klabu kubwa kama Yanga kwenda kumpigia magoti Gabacholi!
If that's what it takes to be happy, tutaendelea kumpigia Magoti....

Kwani nani ataki kuiona YANGA INTERNATIONAL ikibeba Ndoo....?

By the way! Mbona nyinyi mne mkabidhi timu yeye gabachori? Asilimia 51%. Hapo yeye ndio mwenye maamuzi ya mwisho.
 

Idadi ya Makombe aliyo yatwaa akiwa kama Kiongozi wa Yanga SC yanathamani kubwa sana kuliko idadi ya Mabao 5 yenye points 3 zilizoshindwa kukupa ubingwa.

Forza Yanga!

Leo baada ya kushindwa kurudisha ndo mmekumbuka hiyo kauli! Kwa nini mliahidi?
 
Ni kweli unachosema.
 
Leo baada ya kushindwa kurudisha ndo mmekumbuka hiyo kauli! Kwa nini mliahidi?


Pia usisahau kuwa..

Mabao 5 yamekupa alama 3 bila Ubingwa wa msimu huo.

Mabao 4 kwenye mechi 2 yamempa Yanga alama 6 na Ubingwa juu.

Sasa hapo Ukiulizwa nani mjanja, kati ya aliyefungwa 5 kwa mechi 1 au 4 kwa mechi 2 yupi mwenye afadhali.? Usijibu kishabiki [emoji23]
 

Kwa hiyo unakubaliana na mimi kwamba zile ahadi zilikuwa za kishabiki?

Nadhani unakumbuka kabisa kwamba Manji aliahidi kurudisha goli 5 za Simba, iwe kwa mechi ya kirafiki au ya ubingwa.
 
Mzee Akilimali amejifedhehesha kumuomba radhi hiyo jamaa. Kumwambia mtu ukweli sio dhambi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…