Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Soka la jadi la Tanzania ni pasua kichwa. Simba na Yanga ni kama mapacha, wanafanana sana. Usitegemee jambo jipya sana pale Msimbazi au Jangwani, ni mahali pa wajanja wa mjini kupiga pesa kirahisi. Ninawasikitikia sana wanachama wa Simba na Yanga, na pia ninamsikitikia sana Manji na Dewji. Wanapambana na Upepo tu.
Wote ni Matapeli na wajanja wajanja tu, Dewji alikuja na Proposal ya KUIMILIKI Simba kwa miaka mitano. Manji akaja na Proposal ya kutaka KUIKODISHA Yanga kwa miaka Kumi.
Kamwe simwamini Dewji wala Manji katika hayo. Michezo yote wanaicheza nyuma wa Pazia, hakuna uwekezaji wa kificho, huo ni utapeli tu.