Mzee Ali Hassan Mwinyi atunukiwa zawadi kwa kuutumikia Uislam

Mzee Ali Hassan Mwinyi atunukiwa zawadi kwa kuutumikia Uislam

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Ma shaa Allah.

Mzee Mwinyi anazidi kupaa.

1641520593751.png
 
..warekebishe hayo maelezo kwasababu sio sahihi.
Hakuna cha kurekebisha, wanaelewa fika walichokiandika. Kuna ukoloni mbaya uliotuumiza zaidi ya wakati wa Nyerere?

Tuwe wakweli, ulikuwepo wakati wa foleni za chakula Tanzania hii? Nani alikuja kuziondosha kabisa mpaka leo hii hazijajirudia tena?
 
Hakuna cha kurekebisha, wanaelewa fika walichokiandika. Kuna ukoloni mbaya uliotuumiza zaidi ya wakati wa Nyerere?

Tuwe wa kweli, ulikuwepo wakati wa foleni za chakula Tanzania hii? Nani alikuja kuziondosha kabisa mpaka leo hii hazijajirudia tena?

..Nilikuwepo wakati Tz inakabiliwa na uhaba wa bidhaa miaka ya mwisho ya utawala wa Mwalimu Nyerere. Ukweli ni kwamba matatizo yale ya kiuchumi hayaitwi ukoloni mahali popote.
 
..Nilikuwepo wakati Tz inakabiliwa na uhaba wa bidhaa muhimu wakati wa miaka ya mwisho wa utawala wa Mwalimu Nyerere. Ukweli ni kwamba matatizo yale ya kiuchumi hayaitwi ukoloni mahali popote.
Wewe yale yaliletwa na uongozi mbovu, na Nyerere alimkanyaga nyoka mkia kichwa kikamkomesha.

Njaa, ya uchumi kwani Nyerere aliikuta hii nchi ina uchumi mbovu?

Sasa hiyo njaa ya uchumi aliimaliza nani? Mbona unapata kigugumizi?
 
..wenye kigugumizi ni hao wanaodai Mwinyi alikomboa nchi toka kwenye ukoloni na ujamaa.🤣🤣
 
Naongezea Wakati wa Nyerere na Magufuli.
Magufulia lijidai kubana, alivyominywa vindege vyake Canada na South Africa, mwenyewe akaachia. Uchumi ukawa unatetereka kwa spidi kali, Mama kaingia mambo swaaafi,mifuko sasa inatuna kama enzi za Mwinyi na Kikwete.

Mwinyi Hongera sana kwa kuitumikia dini ya Allah. Wengi hawayaoni, kwa ujinga wao tu, lakini dunia inayaona, kazi za Allah hazijifichi.

Hata hii inayosoma humu mingine haielewi kuwa kumtumikia Binaadam mwenzako ukamtoa kwenye dhiki na kumuweka kwenye faraja ni kuutumikia Uislam. Hamuelewi Mwinyi aliitoa Tanzania kwenye hali ipi?
 
Hakuna cha kurekebisha, wanaelewa fika walichokiandika. Kuna ukoloni mbaya uliotuumiza zaidi ya wakati wa Nyerere?

Tuwe wa kweli, ulikuwepo wakati wa foleni za chakula Tanzania hii? Nani alikuja kuziondosha kabisa mpaka leo hii hazijajirudia tena?
Ebu ilink na dini basi
 
Back
Top Bottom