mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Atuzwe tuu
Mungu kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote katika kuwatumikia wananchi wake.Huyu Mzee alisifia na kuhimiza matumizi ya condom.
Huyu sio wewe FaizaFoxy labda kama ulimwachia mwanao akaunti aitumie baada ya the real faiza kufikwa na umauti. Faiza ninayemfahamu lazima angejua kuwa Marekani haijawahi kuwa na kiongozi wa dini ya Allah lakini ni nchi yenye uchumi mkubwa, hoja yangu ni kwamba Mataifa yote duniani yanayofanya vizuri kwani ni ya kiislamu? Au Allah ana tatizo na Tanzania?Ukweli upo wazi kabisa, labda hujaupenda tu ai ikweli siku zote huwa mchungu?
Meza tu ikuingie, hata kama chungu, ndio kweli ilivyo.
MPINGA NYERERE UPO??!Hakuna cha kurekebisha, wanaelewa fika walichokiandika. Kuna ukoloni mbaya uliotuumiza zaidi ya wakati wa Nyerere?
Tuwe wa kweli, ulikuwepo wakati wa foleni za chakula Tanzania hii? Nani alikuja kuziondosha kabisa mpaka leo hii hazijajirudia tena?
Lkn pia tusisahau Mwinyi alivyoua mambo ya msingi, kujimilikisha mali za umma yeye pamoja na mkewe, kuuza mbuga ya wanyama ya loliondo na kuua kila aliejaribu kuhoji, watanzania kwa mara ya kwanza kuanza kulipia elimu na afya huduma walizozoea kuwa za bure toka uhuru!Hayo yako wewe, sidhani kama ulikuwepo wakati Mwinyi anaichukua Tanzania. Chakula hakuna, mpaka nguo za kusitiri makalai hakuna, watu viraka vitupu. Watanzania walikua wananuka vikwapa, ukiletewa sabuni ya lux kutoka Kenya basi wewe ni mfanya magendo! Khaa! Mwinyi akaondosha ujinga huo na yote hayo ndani ya siku 30 tu.
Unayajuwa hayo?
Ndugu yangu baadhi uya waislam wa Tanzania wanaanza kugeuka kituko. Wenyewe kila kiongozi Mwisilamu hata kama alikuwa mpumbavu ni kiongozi mzuuri saana! Kuna muda naishia kucheka tu....Haya mambo mengine yangekuwa yanaishia misikitini,sasa kuhutumikia Uislam Kuna maslahi gani kwa nchi?maana anachosifiwa kufanya may be ni kujenga misikiti mingi,kufundisha ki Arab,na kuruhusu taasisi za kuhubiri Kiislam ziwe nyingi.
Hebu tuwe tunatangaza vitu vikubwa,
Tumlingsnishe Mwinyi na Mzee Desmond Tutu kwa mafanikio aliyoyqfanya hapa duniani kwa kuisaidia watu,
Desmond alipewa tuzo ya nobel 1980 kwa kusaidia watu sio dini!!!
Sasa Mwinyi hii tuzo yake inajurikana kwa waumini wa Kiislam tu,Tena wa mjini Dar,na Zanzibar,kule Kagera,Lindi hakuna anayeijua,hizi ni tuzo za uchochoroni.
Hakuamini alikodoa macho kama mjusi kabanwa na mlango!Huyu Mzee Ndio maana alizabwa kibao cha nguvu
Utawala wake inchi ilikuwa kwenye autopilot
Desmond tutu huyuhuyu aliyekuwa anahamasisha watu wakulane jinsia moja? NEHIHaya mambo mengine yangekuwa yanaishia misikitini,sasa kuhutumikia Uislam Kuna maslahi gani kwa nchi?maana anachosifiwa kufanya may be ni kujenga misikiti mingi,kufundisha ki Arab,na kuruhusu taasisi za kuhubiri Kiislam ziwe nyingi.
Hebu tuwe tunatangaza vitu vikubwa,
Tumlingsnishe Mwinyi na Mzee Desmond Tutu kwa mafanikio aliyoyqfanya hapa duniani kwa kuisaidia watu,
Desmond alipewa tuzo ya nobel 1980 kwa kusaidia watu sio dini!!!
Sasa Mwinyi hii tuzo yake inajurikana kwa waumini wa Kiislam tu,Tena wa mjini Dar,na Zanzibar,kule Kagera,Lindi hakuna anayeijua,hizi ni tuzo za uchochoroni.
Mbona suala la kuwatetea mashoga huyo mzee wako tu hulitaji au nako c miongoni mwa makubwa alofanyaHaya mambo mengine yangekuwa yanaishia misikitini,sasa kuhutumikia Uislam Kuna maslahi gani kwa nchi?maana anachosifiwa kufanya may be ni kujenga misikiti mingi,kufundisha ki Arab,na kuruhusu taasisi za kuhubiri Kiislam ziwe nyingi.
Hebu tuwe tunatangaza vitu vikubwa,
Tumlingsnishe Mwinyi na Mzee Desmond Tutu kwa mafanikio aliyoyqfanya hapa duniani kwa kuisaidia watu,
Desmond alipewa tuzo ya nobel 1980 kwa kusaidia watu sio dini!!!
Sasa Mwinyi hii tuzo yake inajurikana kwa waumini wa Kiislam tu,Tena wa mjini Dar,na Zanzibar,kule Kagera,Lindi hakuna anayeijua,hizi ni tuzo za uchochoroni.
Alifuta mfumo kristo au Bado upo maana ninyi Waislamu hamuishi kulalamika.Magufulia lijidai kubana, alivyominywa vindege vyake Canada na South Africa, mwenyewe akaachia. Uchumi ukawa unatetereka kwa spidi kali, Mama kaingia mambo swaaafi,mifuko sasa inatuna kama enzi za Mwinyi na Kikwete.
Mwinyi Hongera sana kwa kuitumikia dini ya Allah. Wengi hawayaoni, kwa ujinga wao tu, lakini dunia inayaona, kazi za Allah hazijifichi.
Hata hii inayosoma humu mingine haielewi kuwa kumtumikia Binaadam mwenzako ukamtoa kwenye dhiki na kumuweka kwenye faraja ni kuutumikia Uislam. Hamuelewi Mwinyi aliitoa Tanzania kwenye hali ipi?
Mkuu Ukoloni Ni nini? Kwamba mtu akipanga foleni kupata chakula Basi huo Ni ukoloni!!? ,Vipi Somalia , Ethiopia nk maana kule wanapata chakula toka shirika la chakula duniani kwa foleni ,je nao huo Ni ukoloni!?Hakuna cha kurekebisha, wanaelewa fika walichokiandika. Kuna ukoloni mbaya uliotuumiza zaidi ya wakati wa Nyerere?
Tuwe wa kweli, ulikuwepo wakati wa foleni za chakula Tanzania hii? Nani alikuja kuziondosha kabisa mpaka leo hii hazijajirudia tena?
Bibi yeye huwa anapinga Marais wote Wakristo.MPINGA NYERERE UPO??!
Wewe unabagua uongozi kwa mgongo wa udini, hao viongozi wako uliowataja ndio wanaoshusha uchumi acha ushabiki tafuta data kilaza weweMagufulia lijidai kubana, alivyominywa vindege vyake Canada na South Africa, mwenyewe akaachia. Uchumi ukawa unatetereka kwa spidi kali, Mama kaingia mambo swaaafi,mifuko sasa inatuna kama enzi za Mwinyi na Kikwete.