FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #21
Hayo yako wewe, sidhani kama ulikuwepo wakati Mwinyi anaichukua Tanzania. Chakula hakuna, mpaka nguo za kusitiri makalai hakuna, watu viraka vitupu. Watanzania walikua wananuka vikwapa, ukiletewa sabuni ya lux kutoka Kenya basi wewe ni mfanya magendo! Khaa! Mwinyi akaondosha ujinga huo na yote hayo ndani ya siku 30 tu...wenye kigugumizi ni hao wanaodai Mwinyi alikomboa nchi toka kwenye ukoloni na ujamaa.🤣🤣
Unayajuwa hayo?