Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Punguza dharau hlf comment tenaSio kila anaeponda msingi na mfumo mbovu wa Uislamu lazima awe mkiristo, acha kua na akili fupi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza dharau hlf comment tenaSio kila anaeponda msingi na mfumo mbovu wa Uislamu lazima awe mkiristo, acha kua na akili fupi.
Nilijua tu watu kama nyie huwa hamkosekani kwenye uzi kama huu,, sawa basi tufanye taasisi ya maana ni ile inayotaka kumtangaza nyerere kuwa mwenye heri... usiniulize kama hiyo taasisi ni mungu mpaka iwe na mamlaka ya kumtangaza binaadamu mtakatifu. Wagala hamuishi unafkiHivi vitaasisi uchwara ni vya kuhurumiwa.
Udini unakusumbua pole sana,unachowaza akilini mwako haitatokea kuwa na aina moja ya Imani humu Duniani.Magufulia lijidai kubana, alivyominywa vindege vyake Canada na South Africa, mwenyewe akaachia. Uchumi ukawa unatetereka kwa spidi kali, Mama kaingia mambo swaaafi,mifuko sasa inatuna kama enzi za Mwinyi na Kikwete.
Mwinyi Hongera sana kwa kuitumikia dini ya Allah. Wengi hawayaoni, kwa ujinga wao tu, lakini dunia inayaona, kazi za Allah hazijifichi.
Hata hii inayosoma humu mingine haielewi kuwa kumtumikia Binaadam mwenzako ukamtoa kwenye dhiki na kumuweka kwenye faraja ni kuutumikia Uislam. Hamuelewi Mwinyi aliitoa Tanzania kwenye hali ipi?
Hayo ni maendeleo ya technolojia,enzi za nyerere sio za Mwinyi,za Mwinyi sio za Mkapa na za Mkapa sio za Kikwete vile vile za Kikwete sio za Magu na Samia.Maendeleo huyazuii.Nchi zinakua kama ilivyo mimea na wanadamu.Uenda we ni la saba mtoka huko pwani.Hayo yako wewe, sidhani kama ulikuwepo wakati Mwinyi anaichukua Tanzania. Chakula hakuna, mpaka nguo za kusitiri makalai hakuna, watu viraka vitupu. Watanzania walikua wananuka vikwapa, ukiletewa sabuni ya lux kutoka Kenya basi wewe ni mfanya magendo! Khaa! Mwinyi akaondosha ujinga huo na yote hayo ndani ya siku 30 tu.
Unayajuwa hayo?
Huwezi kuifanyia kazi njema njia ya Allah isiwe na misukosuko.Lakin Alizabwa KELBU moja kwa kuunga matumiz ya KONDOMU
unamaoni gan juu ya hili FaizaFoxy
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Nyerere asingetaifisha shule zilizokuwa zinamilikiwa na wakristo, na kuwasaidia waislamu kusoma katika shule zile, leo gepu la elimu kati ya waislamu na wakristo lingekuwa kubwa sana...Magufulia lijidai kubana, alivyominywa vindege vyake Canada na South Africa, mwenyewe akaachia. Uchumi ukawa unatetereka kwa spidi kali, Mama kaingia mambo swaaafi,mifuko sasa inatuna kama enzi za Mwinyi na Kikwete.
Mwinyi Hongera sana kwa kuitumikia dini ya Allah. Wengi hawayaoni, kwa ujinga wao tu, lakini dunia inayaona, kazi za Allah hazijifichi.
Hata hii inayosoma humu mingine haielewi kuwa kumtumikia Binaadam mwenzako ukamtoa kwenye dhiki na kumuweka kwenye faraja ni kuutumikia Uislam. Hamuelewi Mwinyi aliitoa Tanzania kwenye hali ipi?
Aah kumbe hata njaa kali ya kifo cha kufa na kupona huijui. Sio miaka ya mwisho, 1977 mpaka tukaita kundi la 77 kuomba msaada. sijidanganye, Tanzania mambo yalitugeukia mara baada ya azimio la Arusha tu. Uwanyang'anye watu mali zao wakuache wakutazame macho tu? Sio dunia hii...Nilikuwepo wakati Tz inakabiliwa na uhaba wa bidhaa miaka ya mwisho ya utawala wa Mwalimu Nyerere. Ukweli ni kwamba matatizo yale ya kiuchumi hayaitwi ukoloni mahali popote.
Hizo shule ndio zimewajaza ujinga halafu mnachekelea. Umeyasoma yanayotendeka mashule hayo ya Ma father? Utapatwa kichefuchefu labda uwe unayapenda, wamekukomaza?Nyerere asingetaifisha shule zilizokuwa zinamilikiwa na wakristo, na kuwasaidia waislamu kusoma katika shule zile, leo gepu la elimu kati ya waislamu na wakristo lingekuwa kubwa sana...
MashaAllah
Aaagh wapi, kila kukicha mwalimu wa madrasa kafanya hili kwa watoto.. Hilo nalo unahitaji kuambiwa?Hizo shule ndio zimewajaza ujinga halafu mnachekelea. Umeyasoma yanayotendeka mashule hayo ya Ma father? Utapatwa kichefuchefu labda uwe unayapenda, wamekukomaza?
Tazama watoto wa Madrassa wakiingia madarakani mambo yanavyokuwa mazuri. Macho yenu hayaoni basi hata mioyo yenu haihisi?
Nawafahamu sana nyinyi wenye uoga na Uisla "Islamophobia" huwa mnakuwa wajinga wajinga tu, kila unapotajwa Uislam ujinga wenu mliojazwa nao mnaiuogopa Uisla. Uislam umekuja kukukomboa wewe hayawani. Usome, usiuogope.Aaagh wapi, kila kukicha mwalimu wa madrasa kafanya hili kwa watoto.. Hilo nalo unahitaji kuambiwa?
Sawa bibi pumba hujui ata unaeongea nae ni muislamu ila nakuona utopolo.Huna ulichogundua, niwe mdini wakati dini kwa Allah ni Uislam? Unanchekesha!
Kazi ni kwako usie na dini.
Naam, huko ndiko kuutumikia Uislam Uislam haubagui dini, rangi wala jinsi. Naam, hayo ndiyo yalipelekea Mwinyi kujizolea tuzo.Rais Mzee Mwinyi atakumbukwa kwa mengi na alama za maisha yake hayawezi futika.
Tanzania sio kisiwa huwezi kujitenga kwa mbwembwe eti unajitosheleza.
Aliweza kuamini dini yake kwa maisha yake binafsi na familia yake na Wala hakuwahi tamka kuwa Tanzania iingie mfumo wa kiisilamu.Yanayotangazwa mabaya ya IOS ni fikra za kuchafua imani yake.Angalia takwimu enzi za Mzee Mwinyii makanisa mangapi yalijengwa na idadi ya misikiti.Aidha angalia Baraza la Mawaziri enzi zake uwiano na wakristo ulikuwaje? Huyu Mzee alikuwa na karama zake hakupendelea Unguja alithamini kuwa Zanzbar au Bara hakumpunguzii thamani yake.Mpaka sasa chimbuko lake halifahamiki mara Mkuranga/Kisiju/Bagamoyo/Zanzbar.Bila kupepesa macho huyu Mzee ni mfano wa kuigwa.Matendo maovu yalikemewa ndani ya Quran na biblia yanafanana hivyo nikutotenda haki kusemea vituko vinavyojitokea madrasa au kwa mafather, kila mtu atabeba msalaba wake.
Vizuri kijana upo very smartRais Mzee Mwinyi atakumbukwa kwa mengi na alama za maisha yake hayawezi futika.
Tanzania sio kisiwa huwezi kujitenga kwa mbwembwe eti unajitosheleza.
Aliweza kuamini dini yake kwa maisha yake binafsi na familia yake na Wala hakuwahi tamka kuwa Tanzania iingie mfumo wa kiisilamu.Yanayotangazwa mabaya ya IOS ni fikra za kuchafua imani yake.Angalia takwimu enzi za Mzee Mwinyii makanisa mangapi yalijengwa na idadi ya misikiti.Aidha angalia Baraza la Mawaziri enzi zake uwiano na wakristo ulikuwaje? Huyu Mzee alikuwa na karama zake hakupendelea Unguja alithamini kuwa Zanzbar au Bara hakumpunguzii thamani yake.Mpaka sasa chimbuko lake halifahamiki mara Mkuranga/Kisiju/Bagamoyo/Zanzbar.Bila kupepesa macho huyu Mzee ni mfano wa kuigwa.Matendo maovu yalikemewa ndani ya Quran na biblia yanafanana hivyo nikutotenda haki kusemea vituko vinavyojitokea madrasa au kwa mafather, kila mtu atabeba msalaba wake.
Sawa bibi pumba mjinga mpe cheoHoja zinakushinda unataka kunivaa mimi, utadondokea pua kama Ndugai.