Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Hongera kwa mzee wetu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Porojo hizo.Mungu amembariki kwa miaka mingi, tunamshukuru Mungu kwa hilo. pia ana mchango mkubwa kwenye nchi yetu.
Tunapoishi hapa duniani, you must plan/decide where you want to spend your enternity, na hapo ndipo unatakiwa kuchagua njia sahihi ya kukufikisha kwenye uzima wa milele. bila kupepesa macho, nawashirikisha maneno haya.
Yohana 14:6 SUV
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Matendo 4:8
Petro, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, akajibu, “Enyi watawala na wazee wa watu, 9 kama leo tukihojiwa kwa habari ya mambo mema aliyotendewa yule kiwete na kuulizwa jinsi alivyoponywa, 10 ijulikane kwenu nyote na kwa watu wote wa Israeli kwamba: Ni kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye ninyi mlimsulubisha lakini Mungu akamfufua kutoka kwa wafu, kwa jina hilo mtu huyu anasimama mbele yenu akiwa mzima kabisa. 11 Huyu ndiye “ ‘jiwe ambalo ninyi wajenzi mlilikataa, ambalo limekuwa jiwe kuu la pembeni.’ 12 Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hakuna jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo.”
Wafilipi 2:10-11 SUV
ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
bi kikongwe kumbe umevuka mwaka hahaha. ningeshangaa kama usingejitokeza kwenye hili.Porojo hizo.
Mzee Mwinyi ndio kishatunukiwa zawadi ya kuutumikia Uislam.
Tuambie nan aliyeendesha biashara ya utumwa?Ulidanganywa ukadanganyika na hao hao wanaowawekea vituo vya kulawitiana.
Kikwete kila kitu alitoa OIC kumbe.Mahakama ya kadhi mbona ipo siku nyingi sana, umelala?
Mnapanga yenu lakini Allah ana yake tayari, vitimbi vyote vya OIC, Mzee anatunukiwa zawadii hivi sasa. Unafikiri OIC wakikuletea misaada ni lazima uambiwe hii ya OIC? Wakitoa kwa wa kulia hata wa kushoto hauyaoni. Huo ndio Uislam.
Unafikiri UDOM ilijengwa na nani? Unafikiri mikopo bila riba aliyoitangaza Bi Samia juzi inatoka wapi? Kuna nani asiye Muislam anatoa mikopo bila riba? Hata benki ya vatikano haifanyi hivyo, ni Waislaam pekee.
Usilolijua ni usiku wa kiza.
Unafikiri kitivo cha moyo cha Kikwete pale Muhimbili kilijengwa na hadi leo hii kinafadhiliwa na nani? Hujaona ma daktari wa kutoka Saudi Arabia kila mwaka wanakuja mara moja au mbili kufanya kazi za bure? Unafikiri nani anawalipa wale gharama zao?
Fikiri japo kiduchu. Uislam ni mwema, sana, sana, sana.
Muungano Tanganyika imevaa koti la Muungano,Porojo hizo.
Mzee Mwinyi ndio kishatunukiwa zawadi ya kuutumikia Uislam.
Kwa kweli Samia katuasidia,,sasahivi hata Ganda zetu tunaingiza na kuuza vizuri tu bila shida,,tunamlaani magufuri kwa kutuzuia biashara yetu ya sembe nyeupe wakati ilikuwa inaleta mzubguko wa pesa..Sasa tunauza vizuri na tunawwachiapo polisi kiasi ,sote tunapata ..Asante SamiaMwinyi ni Mwanasiasa ambae hajasita kufata Uislam wake kuutumikia umma wa Watanzania.
Una donge?
Huko Saudi Arabia kuna multiparty politics? Mtume wenu Muhammad kama angekuwa hai na Mungu wenu Allah wangekubali hali ya kisiasa na kijamii ilivyo huko kwa King Faisal ambapo familia ya kifalme inahodhi madaraka yote na rasilimali yote ya mafuta milele hadi kiama?Namsemea nani kwa nani?
Hujapenda Mzee Mwinyi kupata tuzo ya King Faisal?
Umeibuka