Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo yako wewe, sidhani kama ulikuwepo wakati Mwinyi anaichukua Tanzania. Chakula hakuna, mpaka nguo za kusitiri makalai hakuna, watu viraka vitupu. Watanzania walikua wananuka vikwapa, ukiletewa sabuni ya lux kutoka Kenya basi wewe ni mfanya magendo! Khaa! Mwinyi akaondosha ujinga huo na yote hayo ndani ya siku 30 tu.
Unayajuwa hayo?
Sasa kilichokuumiza roho ni kipi?> Achana na mleta mada, jibu hoja zake. Wewe unaona donge Mwinyi kutunukiwa zawadi kwa kuitumikia Tanzania Kiislaam?
Kama una donge kwa Mwinyi, kuitumikia nchi kwa kufata maadili mema ya Kiislaam, bila kubagua mtu, nasi utauwa na donge na Kikwete na sasa Mama Samia, sijui utakwepa vipi? Utapasuka.
Jionee tofauti za nchi ikiendeshwa na Muislaam na ikiendeshwa na asiye Muislam, mbona mema yapo wazi kabisa.
Magufulia lijidai kubana, alivyominywa vindege vyake Canada na South Africa, mwenyewe akaachia. Uchumi ukawa unatetereka kwa spidi kali, Mama kaingia mambo swaaafi,mifuko sasa inatuna kama enzi za Mwinyi na Kikwete.
Mwinyi Hongera sana kwa kuitumikia dini ya Allah. Wengi hawayaoni, kwa ujinga wao tu, lakini dunia inayaona, kazi za Allah hazijifichi.
Hata hii inayosoma humu mingine haielewi kuwa kumtumikia Binaadam mwenzako ukamtoa kwenye dhiki na kumuweka kwenye faraja ni kuutumikia Uislam. Hamuelewi Mwinyi aliitoa Tanzania kwenye hali ipi?
Wewe bogus kweli.Yote katika kuwatumikia wananchi wake.
hususan wale wenye magovi, ilibidi awaambie ukweli! Sayansi ilishasema, kama una govi basi una asilimia zaidi za kupata ukimwi kwani hauna kinga na govi linachochea virusi kubaki na kushambulia haraka sana. Au huyajui hayo?
Uislam ni mwema sana.
Unamaanisha nini wewe kilaza?Kwakweli nafurahi sana nchi ikiongozwa na muislamu, hata baadhi ya wasio waisilamu pia wanafurahia kuongozwa na waisilamu, kwanza wana huruma, imani na hofu ya Allah n.k. tofauti nchi ikiongozwa na marais wasio waisilamu, dhulma, kuuawa watu hovyo, kutaifisha mali/manyumba n.k.
Huyo nyerere Allah atampa anachositahili
Karibu mdini/mbaguziUnamaanisha nini wewe kilaza?
Wewe bogus kweli.
Mudy aliwahi kutahiriwa?
Kwenye Uislam kumbe kuna tuzo? Ebu tuwekee za Mtume nazo tuzijue! Ahahahahahahahah!!!Sasa wewe unafikiri ukoloni nini?
Tulivyobanwa mbavu na mkoloni wakati wa Nyerere uliwepo? Ilifikia mpaka chakula kwa foleni. Usilolijua ni usiku wa kiza.
O.I.CHivi ile IOS Saga iliishia wapi ?
Hatujaona CAG akisema hayo, tumeona ripoti ya CAG juzi, ni awamu ya nani ile?Wananchi waliichukia ccm kutokana na ufisadi wa Kikwete na ndio Magufuli akapata mwanya wa kupeperusha bendera!! Usimuingize Kikwete kwenye orodha ya watawala wenye hadhi na hivi sasa atamuharibia huyu mama huko tuendako!
Kwani kila kitu lazima uambiwe na CAG wewe manzi vipi? CAG anahusika vipi na mambo ya ccm?Hatujaona CAG akisema hayo, tumeona ripoti ya CAG juzi, ni awamu ya nani ile?
Kwa nini Muhammad hakukatwa govi?Simfahamu huyo umsemae,a nafahamu kuwa Yesu alayhi salaam alitahiriwa na Waislaam tunaoifata sunna ya Yesu alayhi salaam.
Faiza the jihadist! Mbibi unaudini sijawahi ona. Ur soo brainwashedUlidanganywa ukadanganyika na hao hao wanaowawekea vituo vya kulawitiana.
Eti naleta ubishi wa kitoto wakati wewe unakwepa hoja kitoto! Hapa umeleta uzi unazingumzia tuzo za Uislam. Kwahiyo ukiulizwa Waislam Mtume wao nani utajibu Yesu Kristo? Pumbavu!!!Hapo unaananza kuleta ubishi wa kitoto.
Za Mtume yupi uzitakae, maana kwenye Uislam hYesu alyahi salaam pia ni mtume.
Yesu aliwahi kuyafahamu hayo majina mnayomuita?Simfahamu huyo umsemae,a nafahamu kuwa Yesu alayhi salaam alitahiriwa na Waislaam tunaoifata sunna ya Yesu alayhi salaam.
19:88 - Na wao ati husema kuwa Arrahmani Mwingi wa Rehema ana mwana!19:89 - Hakika mmeleta jambo la kuchusha mno!Simfahamu huyo umsemae,a nafahamu kuwa Yesu alayhi salaam alitahiriwa na Waislaam tunaoifata sunna ya Yesu alayhi salaam.