Mzee Ali Hassan Mwinyi atunukiwa zawadi kwa kuutumikia Uislam

Mzee Ali Hassan Mwinyi atunukiwa zawadi kwa kuutumikia Uislam

Hayo yako wewe, sidhani kama ulikuwepo wakati Mwinyi anaichukua Tanzania. Chakula hakuna, mpaka nguo za kusitiri makalai hakuna, watu viraka vitupu. Watanzania walikua wananuka vikwapa, ukiletewa sabuni ya lux kutoka Kenya basi wewe ni mfanya magendo! Khaa! Mwinyi akaondosha ujinga huo na yote hayo ndani ya siku 30 tu.

Unayajuwa hayo?

Sub hanallah

Uislamu ni usafi,,,uislamu unaondosha watu ujinga,,,kama sio waarabu/waislamu kwa ujumla nchi hii ingeendelea kuwa na hali mbaya sana, ujinga, kuvaa nguo nusu uchi, uchafu wa mwili ungeendelea kuwepo kama kawaida ukhty faiza,,,hata ukiwapa deodorant inaomba poo.

Yani hawa watu washukuru sana ujio wa waarabu/waislamu.
 
Sasa kilichokuumiza roho ni kipi?> Achana na mleta mada, jibu hoja zake. Wewe unaona donge Mwinyi kutunukiwa zawadi kwa kuitumikia Tanzania Kiislaam?

Kama una donge kwa Mwinyi, kuitumikia nchi kwa kufata maadili mema ya Kiislaam, bila kubagua mtu, nasi utauwa na donge na Kikwete na sasa Mama Samia, sijui utakwepa vipi? Utapasuka.

Jionee tofauti za nchi ikiendeshwa na Muislaam na ikiendeshwa na asiye Muislam, mbona mema yapo wazi kabisa.

Kwakweli nafurahi sana nchi ikiongozwa na muislamu, hata baadhi ya wasio waisilamu pia wanafurahia kuongozwa na waisilamu, kwanza wana huruma, imani na hofu ya Allah n.k. tofauti nchi ikiongozwa na marais wasio waisilamu, dhulma, kuuawa watu hovyo, kutaifisha mali/manyumba n.k.

Huyo nyerere Allah atampa anachositahili
 
Magufulia lijidai kubana, alivyominywa vindege vyake Canada na South Africa, mwenyewe akaachia. Uchumi ukawa unatetereka kwa spidi kali, Mama kaingia mambo swaaafi,mifuko sasa inatuna kama enzi za Mwinyi na Kikwete.

Mwinyi Hongera sana kwa kuitumikia dini ya Allah. Wengi hawayaoni, kwa ujinga wao tu, lakini dunia inayaona, kazi za Allah hazijifichi.

Hata hii inayosoma humu mingine haielewi kuwa kumtumikia Binaadam mwenzako ukamtoa kwenye dhiki na kumuweka kwenye faraja ni kuutumikia Uislam. Hamuelewi Mwinyi aliitoa Tanzania kwenye hali ipi?

Wananchi waliichukia ccm kutokana na ufisadi wa Kikwete na ndio Magufuli akapata mwanya wa kupeperusha bendera!! Usimuingize Kikwete kwenye orodha ya watawala wenye hadhi na hivi sasa atamuharibia huyu mama huko tuendako!
 
Yote katika kuwatumikia wananchi wake.

hususan wale wenye magovi, ilibidi awaambie ukweli! Sayansi ilishasema, kama una govi basi una asilimia zaidi za kupata ukimwi kwani hauna kinga na govi linachochea virusi kubaki na kushambulia haraka sana. Au huyajui hayo?

Uislam ni mwema sana.
Wewe bogus kweli.
Mudy aliwahi kutahiriwa?
 
Kwakweli nafurahi sana nchi ikiongozwa na muislamu, hata baadhi ya wasio waisilamu pia wanafurahia kuongozwa na waisilamu, kwanza wana huruma, imani na hofu ya Allah n.k. tofauti nchi ikiongozwa na marais wasio waisilamu, dhulma, kuuawa watu hovyo, kutaifisha mali/manyumba n.k.

Huyo nyerere Allah atampa anachositahili
Unamaanisha nini wewe kilaza?
 
Sasa wewe unafikiri ukoloni nini?

Tulivyobanwa mbavu na mkoloni wakati wa Nyerere uliwepo? Ilifikia mpaka chakula kwa foleni. Usilolijua ni usiku wa kiza.
Kwenye Uislam kumbe kuna tuzo? Ebu tuwekee za Mtume nazo tuzijue! Ahahahahahahahah!!!
 
Kwenye Uislam kumbe kuna tuzo? Ebu tuwekee za Mtume nazo tuzijue! Ahahahahahahahah!!!
Hapo unaananza kuleta ubishi wa kitoto.

Za Mtume yupi uzitakae, maana kwenye Uislam hYesu alyahi salaam pia ni mtume.
 
Wananchi waliichukia ccm kutokana na ufisadi wa Kikwete na ndio Magufuli akapata mwanya wa kupeperusha bendera!! Usimuingize Kikwete kwenye orodha ya watawala wenye hadhi na hivi sasa atamuharibia huyu mama huko tuendako!
Hatujaona CAG akisema hayo, tumeona ripoti ya CAG juzi, ni awamu ya nani ile?
 
Hapo unaananza kuleta ubishi wa kitoto.

Za Mtume yupi uzitakae, maana kwenye Uislam hYesu alyahi salaam pia ni mtume.
Eti naleta ubishi wa kitoto wakati wewe unakwepa hoja kitoto! Hapa umeleta uzi unazingumzia tuzo za Uislam. Kwahiyo ukiulizwa Waislam Mtume wao nani utajibu Yesu Kristo? Pumbavu!!!
 
Simfahamu huyo umsemae,a nafahamu kuwa Yesu alayhi salaam alitahiriwa na Waislaam tunaoifata sunna ya Yesu alayhi salaam.
Yesu aliwahi kuyafahamu hayo majina mnayomuita?
Muddy ni lile kubwa la maadui ambalo kusoma kwake kulilipitia kushoto na hivi leo kaambukiza wajukuu zake wanapenda elimu akhera ushanisoma?

Sasa nijuze bi faiza huyo Muhammad aliwahi kutahiriwa?
 
Simfahamu huyo umsemae,a nafahamu kuwa Yesu alayhi salaam alitahiriwa na Waislaam tunaoifata sunna ya Yesu alayhi salaam.
19:88 - Na wao ati husema kuwa Arrahmani Mwingi wa Rehema ana mwana!19:89 - Hakika mmeleta jambo la kuchusha mno!

19:90 - Zinakaribia mbingu kutatuka kwa hilo, na ardhi kupasuka, na milima kuanguka vipande vipande.

Mpaka sasa wakristo tunasema Yesu NI mwana wa Mungu mbingu NA ardhi ziko vilevile hakuna cha kupasuka wala kuchaika
 
Back
Top Bottom