Hayo yako wewe, sidhani kama ulikuwepo wakati Mwinyi anaichukua Tanzania. Chakula hakuna, mpaka nguo za kusitiri makalai hakuna, watu viraka vitupu. Watanzania walikua wananuka vikwapa, ukiletewa sabuni ya lux kutoka Kenya basi wewe ni mfanya magendo! Khaa! Mwinyi akaondosha ujinga huo na yote hayo ndani ya siku 30 tu...wenye kigugumizi ni hao wanaodai Mwinyi alikomboa nchi toka kwenye ukoloni na ujamaa.🤣🤣
Mtoa mada kaamua tu kuandika yake
Sina bibiMwinyi ni Mwanasiasa ambae hajasita kufata Uislam wake kuutumikia umma wa Watanzania.
Una donge?
Sasa kilichokuumiza roho ni kipi?> Achana na mleta mada, jibu hoja zake. Wewe unaona donge Mwinyi kutunukiwa zawadi kwa kuitumikia Tanzania Kiislaam?Mtoa mada kaamua tu kuandika yake
Sawa, mimi ni muislam na najivunia kuwa muislamMpe hongera nyingi nyingi Mee Mwinyi. Mwinyi alitukomboa kutoka kwenye dhiki kali sana ya kimaisha aka ukoloni mambo leo.
Ooohhh kumbe jiwe gizaniImeishia wapi na bado inampa mazawadi ya kuutumikia Uislam.
Allah ameahidi, soma Qur'an 2:261 Unapojitolea kwenye njia zake malipo mema hayaishi.
Una donge?
..hiyo tuzo inasema uongozi wa Mzee Mwinyi uliikomboa nchi yetu toka ktk ukoloni na ujamaa.
Haya mambo mengine yangekuwa yanaishia misikitini,sasa kuhutumikia Uislam Kuna maslahi gani kwa nchi?maana anachosifiwa kufanya may be ni kujenga misikiti mingi,kufundisha ki Arab,na kuruhusu taasisi za kuhubiri Kiislam ziwe nyingi.
@FaizaFoxy You are too smart to come up with such allegations!! Kwamba uongozi ili uwe bora lazima aongoze mtu kutoka dini ya Allah.Sasa kilichokuumiza roho ni ki[i> Achana na mleta mada, jibu hoja zake. Wewe unaona donge Mwinyi kutunukiwa zawadi kwa kuitumikia Tanzania Kiislaam?
Kama una donge kwa Mwinyi, kuitumikia nchi kwa kufata maadili mema ya Kiislaam, bila kubagua mtu, nasi utauwa na donge na Kikwete na sasa Mama Samia, sijui utakwepa vipi? Utapasuka.
Jionee tofauti za nchi ikiendeshwa na Muislaam na ikiendeshwa na asiye Muislam, mbona mema yapo wazi kabisa.
Mshindi wa tuzo!..Ni tuzo ya kutumikia Uislamu na Allah.
..hakuna shaka kwamba tuzo hiyo ni nzuri.
..tatizo imepambwa kwa maneno ya uongo.
..Uislamu na uongo, haviendani. Ndio maana ingekuwa vema watoe tuzo wafanyie marekebisho walichoandika.
Unaona donge tu. Wameandika ukweli usioupenda. Labda uwe ni juha tu ndio usiayaelewe waliyoyaandika.
Ukweli upo wazi kabisa, labda hujaupenda tu ai ikweli siku zote huwa mchungu?@FaizaFoxy You are too smart to come up with such allegations!! Kwamba uongozi ili uwe bora lazima aongoze mtu kutoka dini ya Allah.
Kumbuka Faiza humu ndani tupo sisi memba wa muda mrefu, na kwa michango yako humu ndani wengine tukawa kama wafuasi wako ukiondoa kipengee cha dini ambacho kila mtu ana uhuru wa kuabudu kwa mujibu wa imani yake.
Kwa hoja kama hii, nakuwa na mashaka kama ni umri wako unazidi kupaa na uelewa unazidi kushika au tatizo ni nini.
Nimeangalia akauti yako mara mbili mbili nikahisi labda ni parody lakini nikakumbuka hii sio twitter!
Au nikiri kwamba mimi ndio sikukufahamu ulivyo deep down! Hivi ndivyo ulivyo.
Am so disappointed.