Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

Kuna brother mmoja alikuwa jirani yangu alikuwa akiwahi kuamka kabla yetu basi wote lazima tuamke.

Anapiga mswaki utafkiri anataka kujiua maana ile sauti ilikuwa ni zaid ya chura.
😅 😅 😅 😅 ... wengine huwa too much! ... yaana mtu anaweza kupiga mswaki yeye, halafu wewe ukatapika jinsi anavyojigogora!
😅
 
Nimecheka sana ndiyo maana mm hua natoa hela kwa wale jamaa wa ticket ili wanipange na pisi ili kuepuka hizo changamoto.

Kama nauli ni 90,000 mm nampatia 100,000. Staki shida mm nitafute pesa kwa shida halafu nisafiri kwa shida.
Hiyo pisi uliyokaa nayo inakuona kama huyo babu.
 
Huyu mleta mada Ameathirika na michezo fulani aliyowahi kufanyiwa utotoni ndo inamtesa hadi leo.
 
Back
Top Bottom