Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

Yeah, wengine ni ugonjwa nadhani....
Maana wanasugua meno mpaka fizi zinatoa damu lakini bado mkikaribiana wasmell bad
... halafu usafi wa kinywa hauishii kwenye kusukutua meno! ... mtu unatakiwa usafishe ulimi na paa na kuta za kinywa mpaka na koo la chakula! ... nyumanyuma ya kinywa, karibu na koromeo, ni maeneo yenye makunyanzi yanayoweza kutunza protein na wanga unaooza na hivyo kutoa harufu kali!
USAFI WA KINYWA NI KAZI!
 
Umesema kwenye koromeo?
 
Mtu msafi unashindwa hata kununua passo. Jitahidi msafi upate hata toyo used
 
Watu wengi tu kusafisha kinywa kila baada kula ni mtihani sana, unakuta mtu anacheka fizi zimejaa mboga za majani kama mbuzi.
Ila huyo mwamba kajua kumchamba huyo mzee nadhani mpaka sasa hiyo harufu itakuwa imeshakata😃😃😃😃😃
 
Ulimhola!

Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones.

Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa.

Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama, amevaa likoti chafu la kijivu huku amefungasha limfuko la rambo na kulipakata.

Sinaga mazoea ya kuongeleshana na abiria mwenzangu, kwahiyo nikawa nimeuchuna tu nasikiliza ngoma za CHRIS BROWN.

Baadaye yule mzee akaanza kuniongelesha, nikawa najaribu kumpuuzia lakini akawa analazimisha huku ananiuliza vimaswali visivyoeleweka.

Mwanzoni nilihisi kaharufu cha ajabu kila anapoongea, lakini nikajikaza nikadhamiria kumkaushia kabisa mpaka mwisho wa safari.

Baadaye akazidisha sasa kuniongelesha, ikabidi nivue earphones zote nikawa namuitikia tuu, DAAAAAH, mzee ananuka mdomo kama PANYA BUKU!!

Nikawa namkwepa huku najaribu kukatiza maongezi lakini ndio kama anazidisha sasa huku ananipumulia mdomoni kwa kasi..... nilihisi tumbo linavuruga, nikawa natamani kwenda chooni, masikio yakazibaaa kabisaa macho yakawa mekundu NDUuuuuuuH!

Nikamkata jicho la kijeshii, akanyamaza.... nikaona anafungua fuko lake akatoa machips akaanza kubugia... nilihisi kinyaaa....

Tukaenda mbele kidogo akaanza kupiga miayo hovyo huku hafungi domo, harufu kali inatoka domo kubwaaaaa mwaaaaahhh nikatamani kuhama siti... kila baada ya dakika tano anapiga miayo halafu hafungi domo... NILIJUTRAAAAAA

Nikaona anatoa jiti la kiberiti anachokonoa meno halafu ananusa..... kuna watu wana laana aiseee...

AIONE KWENYE JALADA: Nyani Ngabu Lloyd Munroe SECRETARY BIRD Poor Brain Mbaga Jr Lamomy min -me raraa reree
Hilo basi Gani na mifuko ya Rambo Tena!
 
Waebrania 13
2 Msisahau kuwafadhili wageni; maana kwa njia hii wengine wamewakaribisha malaika pasipo kujua.

Usimdharau usiyemjua, huenda katika situationi hiyo Mungu anataka kuona unavyojali wengine,
Jifunze :kuna mtu Mmoja mcha Mungu alikuwa akimwomba Mungu aonane naye uso kwa uso ,katika maombi yake Mungu akamtokea akamwambia nitakuja muda Fulani unione!!! muda ulipofika alikuja bibi mchafumchafu akamwomba maji ya kunywa akamnyima😭, yule bibi
Akaondoka ,yule mtu akarudi kumwambia Mungu mbona we ni mwongo akamjibu akamwambia mbona nilikuja hukunikaribisha, ukaninyima na maji,?

#Kijana unapishana na gari la mshahara##
😃😃😃
 
Ulimhola!

Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones.

Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa.

Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama, amevaa likoti chafu la kijivu huku amefungasha limfuko la rambo na kulipakata.

Sinaga mazoea ya kuongeleshana na abiria mwenzangu, kwahiyo nikawa nimeuchuna tu nasikiliza ngoma za CHRIS BROWN.

Baadaye yule mzee akaanza kuniongelesha, nikawa najaribu kumpuuzia lakini akawa analazimisha huku ananiuliza vimaswali visivyoeleweka.

Mwanzoni nilihisi kaharufu cha ajabu kila anapoongea, lakini nikajikaza nikadhamiria kumkaushia kabisa mpaka mwisho wa safari.

Baadaye akazidisha sasa kuniongelesha, ikabidi nivue earphones zote nikawa namuitikia tuu, DAAAAAH, mzee ananuka mdomo kama PANYA BUKU!!

Nikawa namkwepa huku najaribu kukatiza maongezi lakini ndio kama anazidisha sasa huku ananipumulia mdomoni kwa kasi..... nilihisi tumbo linavuruga, nikawa natamani kwenda chooni, masikio yakazibaaa kabisaa macho yakawa mekundu NDUuuuuuuH!

Nikamkata jicho la kijeshii, akanyamaza.... nikaona anafungua fuko lake akatoa machips akaanza kubugia... nilihisi kinyaaa....

Tukaenda mbele kidogo akaanza kupiga miayo hovyo huku hafungi domo, harufu kali inatoka domo kubwaaaaa mwaaaaahhh nikatamani kuhama siti... kila baada ya dakika tano anapiga miayo halafu hafungi domo... NILIJUTRAAAAAA

Nikaona anatoa jiti la kiberiti anachokonoa meno halafu ananusa..... kuna watu wana laana aiseee...

AIONE KWENYE JALADA: Nyani Ngabu Lloyd Munroe SECRETARY BIRD Poor Brain Mbaga Jr Lamomy min -me raraa reree
Wewe haunuki midomo na miguu?
 
Back
Top Bottom