Mzee ananuka mdomo: Kero usafiri wa umma

Ulimhola!

Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones.

Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa.

Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama, amevaa likoti chafu la kijivu huku amefungasha limfuko la rambo na kulipakata.

Sinaga mazoea ya kuongeleshana na abiria mwenzangu, kwahiyo nikawa nimeuchuna tu nasikiliza ngoma za CHRIS BROWN.

Baadaye yule mzee akaanza kuniongelesha, nikawa najaribu kumpuuzia lakini akawa analazimisha huku ananiuliza vimaswali visivyoeleweka.

Mwanzoni nilihisi kaharufu cha ajabu kila anapoongea, lakini nikajikaza nikadhamiria kumkaushia kabisa mpaka mwisho wa safari.

Baadaye akazidisha sasa kuniongelesha, ikabidi nivue earphones zote nikawa namuitikia tuu, DAAAAAH, mzee ananuka mdomo kama PANYA BUKU!!

Nikawa namkwepa huku najaribu kukatiza maongezi lakini ndio kama anazidisha sasa huku ananipumulia mdomoni kwa kasi..... nilihisi tumbo linavuruga, nikawa natamani kwenda chooni, masikio yakazibaaa kabisaa macho yakawa mekundu NDUuuuuuuH!

Nikamkata jicho la kijeshii, akanyamaza.... nikaona anafungua fuko lake akatoa machips akaanza kubugia... nilihisi kinyaaa....

Tukaenda mbele kidogo akaanza kupiga miayo hovyo huku hafungi domo, harufu kali inatoka domo kubwaaaaa mwaaaaahhh nikatamani kuhama siti... kila baada ya dakika tano anapiga miayo halafu hafungi domo... NILIJUTRAAAAAA

Nikaona anatoa jiti la kiberiti anachokonoa meno halafu ananusa..... kuna watu wana laana aiseee...

AIONE KWENYE JALADA: Nyani Ngabu Lloyd Munroe SECRETARY BIRD Poor Brain Mbaga Jr Lamomy min -me raraa reree
Mwanaume unakereka mzee kunuka mdomo huku unaandika nilijutraaaa.

Kumbe we ndio yule ukiyekuwa unanuka tako mbona si tulikuvumilia?

Pumbavu.
 
Kwa jamii ya watanzania hukosi ndugu wa aina hiyo kijijini hata mjini pia.
Jifunze namna nzuri ya kuishi na watu ukitambua kuwa watu wanatofautiana sana, nilitegemea kwa ubotherman wako huo umsaidie mzee ht maji ya kunywa jojo/ bubble gum mfano PK sio kumsimanga hapa!!
 
Hakukua na haja ya kufungua thread kwenye Hilo Jambo lakini pia jifunze kutembea na JoJo za kutosha mkikaa na mtu ukiona huelewi elewi unamzawidia kwamba ndugu tafuna tuendelee na safari acha utoto
 
Ulimhola!

Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones.

Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa.

Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama, amevaa likoti chafu la kijivu huku amefungasha limfuko la rambo na kulipakata.

Sinaga mazoea ya kuongeleshana na abiria mwenzangu, kwahiyo nikawa nimeuchuna tu nasikiliza ngoma za CHRIS BROWN.

Baadaye yule mzee akaanza kuniongelesha, nikawa najaribu kumpuuzia lakini akawa analazimisha huku ananiuliza vimaswali visivyoeleweka.

Mwanzoni nilihisi kaharufu cha ajabu kila anapoongea, lakini nikajikaza nikadhamiria kumkaushia kabisa mpaka mwisho wa safari.

Baadaye akazidisha sasa kuniongelesha, ikabidi nivue earphones zote nikawa namuitikia tuu, DAAAAAH, mzee ananuka mdomo kama PANYA BUKU!!

Nikawa namkwepa huku najaribu kukatiza maongezi lakini ndio kama anazidisha sasa huku ananipumulia mdomoni kwa kasi..... nilihisi tumbo linavuruga, nikawa natamani kwenda chooni, masikio yakazibaaa kabisaa macho yakawa mekundu NDUuuuuuuH!

Nikamkata jicho la kijeshii, akanyamaza.... nikaona anafungua fuko lake akatoa machips akaanza kubugia... nilihisi kinyaaa....

Tukaenda mbele kidogo akaanza kupiga miayo hovyo huku hafungi domo, harufu kali inatoka domo kubwaaaaa mwaaaaahhh nikatamani kuhama siti... kila baada ya dakika tano anapiga miayo halafu hafungi domo... NILIJUTRAAAAAA

Nikaona anatoa jiti la kiberiti anachokonoa meno halafu ananusa..... kuna watu wana laana aiseee...

AIONE KWENYE JALADA: Nyani Ngabu Lloyd Munroe SECRETARY BIRD Poor Brain Mbaga Jr Lamomy min -me raraa reree
Domo la Bata linanuka
 
We muongo makete gari yenye AC hamna kule baridi Sana mzee Acha uongo
 
Yaan tumekukuza vizuri kabisa makete ndani ndani huko, tunakulisha mabumunda ya kikinga sahv umeenda Dasalama unarudi na earphones unasema tunanuka. Tulia kwenye japanese we Chogo sanga
 
Naimagine uzee unakua huna nguvu hata ya kuzingatia mswaki bana, si unajua uzee ni kama unarudi utotoni
Madam uzee wa kuridi utoto sio wa kiivo..
Maana huyo wa kupanda hadi kwa gari kabisa...

Sema daah *"""mdomo koma"""
Nisiseme mengi no one nows tomorrow
 
Binafsi nisingeweza kumzalilisha huyo mzee kwa kumuanzishia thread kama hii kwenye jukwaa linalosomwa na watu wenye hekima zao ili wajue upumbavu wangu. Hizi ni akili za kijana asiyejitambua, asiyejua mazingira halisi ya watanzania mbalimbali especially kutoka huko bush interiors ambapo wazee wetu hawajui kama kuna kanuni za kiafya za kusafisha vinywa mara kwa mara baada ya kuingiza chochote mdomoni. Msukuma uliyeelimika... usiwadharau wazee wako
"Molemola sana"
😂😂
 
Back
Top Bottom