Kishimbe wa Kishimbe JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 5,566 Reaction score 5,477 Dec 17, 2024 #101 Dexta said: Kuna brother mmoja alikuwa jirani yangu alikuwa akiwahi kuamka kabla yetu basi wote lazima tuamke. Anapiga mswaki utafkiri anataka kujiua maana ile sauti ilikuwa ni zaid ya chura. Click to expand... π π π π ... wengine huwa too much! ... yaana mtu anaweza kupiga mswaki yeye, halafu wewe ukatapika jinsi anavyojigogora! π
Dexta said: Kuna brother mmoja alikuwa jirani yangu alikuwa akiwahi kuamka kabla yetu basi wote lazima tuamke. Anapiga mswaki utafkiri anataka kujiua maana ile sauti ilikuwa ni zaid ya chura. Click to expand... π π π π ... wengine huwa too much! ... yaana mtu anaweza kupiga mswaki yeye, halafu wewe ukatapika jinsi anavyojigogora! π
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 11,682 Reaction score 14,241 Dec 17, 2024 #102 dump said: Nimecheka sana ndiyo maana mm hua natoa hela kwa wale jamaa wa ticket ili wanipange na pisi ili kuepuka hizo changamoto. Kama nauli ni 90,000 mm nampatia 100,000. Staki shida mm nitafute pesa kwa shida halafu nisafiri kwa shida. Click to expand... Hiyo pisi uliyokaa nayo inakuona kama huyo babu.
dump said: Nimecheka sana ndiyo maana mm hua natoa hela kwa wale jamaa wa ticket ili wanipange na pisi ili kuepuka hizo changamoto. Kama nauli ni 90,000 mm nampatia 100,000. Staki shida mm nitafute pesa kwa shida halafu nisafiri kwa shida. Click to expand... Hiyo pisi uliyokaa nayo inakuona kama huyo babu.
I Inch 9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,093 Reaction score 1,365 Dec 17, 2024 #103 Huyu mleta mada Ameathirika na michezo fulani aliyowahi kufanyiwa utotoni ndo inamtesa hadi leo.
EvilSpirit JF-Expert Member Joined Jun 15, 2017 Posts 10,576 Reaction score 16,644 Dec 17, 2024 #104 Halafu ungesinzia ungekuta ameupitisha ulimi kinywani mwako anakupiga denda