Lakini wachimbaji ni watu wa kawaida sana yaani
ndio utafiti wako huo uliofanya?Ndio maana kelele nyingi zinalenga chanjo kwa wazee ni mkakati wa kuwapa vijana mirathi
Kwa Africa inalenga wazee sababu ndio wenye hekima na akili wanaoongoza bara hili
Wanajua vibabu na vibibi vikiondoka rahisi kupitisha maamuzi na kulaghai vijana wapenda uzungu na waamini wazungi kuwa wanna akili
Kampuni nyingi kubwa hata private sekta injini Ni wazee ,Ukienda kwenye siasa Ni wazee ndio vichwa kuanzia serikalini , bungeni na mahakamani.
Wazee wetu wanaliwa timing
Na uko sahihi vijana waweza tumia fursa ya Corona kuwafanyizia wazee wao kitu mbaya kwa kisingizio Cha kaondoka kwa matatizo ya upumuaji
Corona Ni pepo na shetani
Ndio maana kelele nyingi zinalenga chanjo kwa wazee ni mkakati wa kuwapa vijana mirathi
Kwa Africa inalenga wazee sababu ndio wenye hekima na akili wanaoongoza bara hili
Wanajua vibabu na vibibi vikiondoka rahisi kupitisha maamuzi na kulaghai vijana wapenda uzungu na waamini wazungi kuwa wanna akili
Kampuni nyingi kubwa hata private sekta injini Ni wazee ,Ukienda kwenye siasa Ni wazee ndio vichwa kuanzia serikalini , bungeni na mahakamani.
Wazee wetu wanaliwa timing
Na uko sahihi vijana waweza tumia fursa ya Corona kuwafanyizia wazee wao kitu mbaya kwa kisingizio Cha kaondoka kwa matatizo ya upumuaji
Corona Ni pepo na shetani
Kipindi Cha Magufuli wazee wengi wakubwa wenye nazo na madarakani walikuwa hawafi Kama Sasa wakati tukijifukiza na kula malimao na tangawizi zetu na maombindio utafiti wako huo uliofanya?
Tume copy na kupaste mbinu za Ulaya ambazo hazifanyi kazi Afrika
Within 24 hrs, the country has lost at least 3 prominent investors:View attachment 1890326
DEATH ANNOUNCEMENT
إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".
It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th August 2021
MARHUM will be BURIED at
KISUTU AFTER SALAT JUMAA
REQUESTING NO VISITORS AT RESIDENCE
we kipindi cha magufuli ulikua ni msukule? au haukuwepo nchi hii, hv kuna kipindi wamepukutika kama cha Magufuli?Kipindi Cha Magufuli wazee wengi wakubwa wenye nazo na madarakani walikuwa hawafi Kama Sasa wakati tukijifukiza na kula malimao na tangawizi zetu na maombi
LoL! Nlikua nisha cut budget ya kulaWaroho wa wali wa misibani someni sentensi ya mwisho.
NI MARUFUKU KUKANYAGA HAPO NYUMBANI KWA AHMED ABRI/MZEE ASAS.
Kipindi Cha Magufuli hawakufa sababu ya maombi Mungu alisikia kipindi hiki hakuna Cha MunguWithin 24 hrs, the country has lost at least 3 prominent investors:
1. Owner of Gold Crest Hotels
2. Owner of Travertine Hotel
3. Owner of Asas Group
Needless to mention that 48-72 hrs ago, we have lost Somaiya.
Kwa kweli kukosekana kwa mkakati wa kupambana na COVID-19 chini ya uongozi (no, u prefect) wa Magufuli ndiyo umepelekea janga lote hili la sasa. Mungu atusaidie kwa kweli.
Why Dorothy is even still a minister until now is beyond me. She should now be rotting behind bars for manslaughter charges, let alone remaining in office.
Wamesema amededi kwa Covid19 au umeamua kutufanyia unabii wa utabiri?Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Steve Nyenyere ajulishwe mapemaWaroho wa wali wa misibani someni sentensi ya mwisho.
NI MARUFUKU KUKANYAGA HAPO NYUMBANI KWA AHMED ABRI/MZEE ASAS.
Mkuu naomba niwafungue akili watu kupitia hii comment yako.Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Amededi kwa Corona? Sikujua wewe ndio ulikuwa daktari wakeNaogopa kusema hawa matajiri wote asilimia 90 walipatiwa chanjo,inakuaje wanakufa hv ,ina maana chanjo haifanyi kazi yake ipasavyo??
Mbona yeye Magufuli korona ilimuua?Kipindi Cha Magufuli hawakufa sababu ya maombi Mungu alisikia kipindi hiki hakuna Cha Mungu
Mungu kasa chanjo ya Corona!!!!
Huwezi sikia Raisi Samia anasema tuombe Mungu Ni tuombe msaada wa Chanjo zaidi kwa wazungu.Ndio yamegeuka maombi ya taifa
Pumziko La Amani Apate.Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Weka ushahidi wa death certificate ikionyesha coause of deathMbona yeye Magufuli korona ilimuua?