Yaani unatafuta Pesa ili uzikwe sehemu ya vigogo na sio kutafuta pesa ili ufurahie wakati unaishi ? , Nadhani as a Specie kuna sehemu tumekosea...Tafuta pesa ukazikwe kisutu tofauti na hapo costa zitakuhusu, utalala unatembezwa usiku kucha
Mkuu sijakutenga nakuonaga sana kwenye comment zako. Huu ugonjwa wa Corona ni wa ajabu. Hata hapa Denmark hasa Copenhagen ndo unazidi. Sijui winter ikifika itakuwaje. Kila siku watu kumi hadi ishirini wanakufa na huu ugonjwa. Na idadi ya maambukizi inazidi. Jana zaidi ya 1000 waliopimwa wanayo.Ndugu yangu umenitenga na kupotea. Ila kanuni yetu ya kuchapa kazi na kuepuka viashiria vyovyote vya kukutoa kwenye reli kutekeleza majukum yetu ya kuchakarika usiitelekeze, izingatie muda wote.
Uko salama mkuu...tusitupane kaka, hasabwakati huu uliojaa mashaka na hofu. Kujuliana hali muhimu. Kumbuka wewe ni millionaire mtarajiwa ( jitunze).
Kikubwa tujiandae muda wote kwa hii safari mkuu.
Uwe na siku njema
Sidhani kama Mungu anafanya kazi kwa matamkoKipindi Cha Magufuli hawakufa sababu ya maombi Mungu alisikia kipindi hiki hakuna Cha Mungu
Mungu kasa chanjo ya Corona!!!!
Huwezi sikia Raisi Samia anasema tuombe Mungu Ni tuombe msaada wa Chanjo zaidi kwa wazungu.Ndio yamegeuka maombi ya taifa
Mkuu sijakutenga nakuonaga sana kwenye comment zako. Huu ugonjwa wa Corona ni wa ajabu. Hata hapa Denmark hasa Copenhagen ndo unazidi. Sijui winter ikifika itakuwaje. Kila siku watu kumi hadi ishirini wanakufa na huu ugonjwa. Na idadi ya maambukizi inazidi. Jana zaidi ya 1000 waliopimwa wanayo.
Safari yangu ya kuwa millionaire ipo pale pale. Yani natamani sana. Sasa UVIKO nayo inapunguza kasi.
Mungu asaidie.
Hali si shwari.Changamoto za upumuaji zinazidi kuongezeka
Uza bangi utajirike. Myebusi wahedMkuu sijakutenga nakuonaga sana kwenye comment zako. Huu ugonjwa wa Corona ni wa ajabu. Hata hapa Denmark hasa Copenhagen ndo unazidi. Sijui winter ikifika itakuwaje. Kila siku watu kumi hadi ishirini wanakufa na huu ugonjwa. Na idadi ya maambukizi inazidi. Jana zaidi ya 1000 waliopimwa wanayo.
Safari yangu ya kuwa millionaire ipo pale pale. Yani natamani sana. Sasa UVIKO nayo inapunguza kasi.
Mungu asaidie.
Alikufa Kijazi kwa korona ulimuona Magufuli kavaa barakoa? Na jinsi korona ilivyokosa adabu ikamwondoa na yeye!Weka ushahidi wa death certificate ikionyesha coause of death
Angekuwa alikuwa kwa Corona serikali yote mazishi yake wasingekanyaga na wangekuwa kila mmoja kavaa barakoa na social distance kuanzia kuaga Hadi kuzika
Mbona walikuwa hawajavaa hata barakoa Wala social distance? Na walikuwa hawajachanja
namshangaa huyo dada anaesema eti kipindi cha Magu watu walikua hawafiKipindi kile korona ilikuwa inajipigia sana.Ilikosa heshima mpaka kufika Ikulu
Wengine hawakuchanja kwasababu walidanganywa sasa kifo ni lazima uwe umechanja au laaaNaungana nawe kusubiri majibu!
Pole kwa familia.
kati ya WAtu waliofadhili magenge ya "chama kijani" kuwapiga wapinzani, only few will mourn, i know.View attachment 1890326
DEATH ANNOUNCEMENT
إِنَّا للهِ وَإِنَّـا إِلَيْهِ رَاجِعون
"Surely we belong to Allah and to Him shall we return".
It is with sadness that we share the news of the demise of ALHAJ FARAJ AHMED ABRI MZEE ASAS ) CEO of ASAS GROUP OF COMPANIES Who Passed away In Dar es salaam today Friday 13th August 2021
MARHUM will be BURIED at
KISUTU AFTER SALAT JUMAA
REQUESTING NO VISITORS AT RESIDENCE
Mgerasi bana. Hapa ni kuvuta tu kuuza utajiletea matatizo. Kama leo asubuhi nimedamkia na siku naona inaenda vizuri sana.Uza bangi utajirike. Myebusi wahed
Siyo matajiri wote wamechanja. Kuna wengine wana mawazo ya Gwajima..... Kwa Sasa chanjo dunia nzima ni bure, siyo Tanzania peke yake. Hivyo kabla ya chanjo kuruhusiwa Tanzania, ukipata ilikuwa ni lazima utoke nje ya nchi kwenda kwenye nchi walizokuwa wanachanja.Huyu hakuwa amechanjwa? Kwanini vifo hivi vimeongezeka sana na maradufu na hasa kwa watu ambao tunajua fika kabisa wana access ya kuchanjwa haraka na kwa asilimia mia watakuwa wamechanjwa tena bila kusubiri hii ya bure? Why?
Ufufuo wa Kwanza ndo upi na huo wa pili ukoje??.Leta verse za Bible kabisa.Kipindi hiki wale wenye ukwasi inabidi wajipange vyema maana wenye tamaa ya urithi wanaweza kutumia opportunity ya uviko kuwarudisha mavumbini ili warithi ukwasi wao
Kifo ni usingizi wa kitambo kifupi kabla ya kufufuliwa swali utafufuka ufufuo wa 1 au wa pili Mungu atusaidie tuwe ule wa 1. Pole kwa familia
J&J😁😁😁😁Apumzike Kwa Amani
Johnson And Johnson
Acha uongo mkuu wazee wametembea balaa ndio kipindi wazee wengi wametembea mpaka. Yeye mwenyewe magu katembea umepoteza kumbukumbu weweKipindi Cha Magufuli wazee wengi wakubwa wenye nazo na madarakani walikuwa hawafi Kama Sasa wakati tukijifukiza na kula malimao na tangawizi zetu na maombi