Mzee atoa machozi baada ya kumuona Lissu aliyepigwa risasi 16 akiwa hai

Mimi ile September 7, 2017 niliona hapa JF kwanza kwamba Lissu kapigwa risasi na hali yake ni mbaya sana. Nilijua ni uongo wa buku 7 hivyo sikuamini ila nikawa busy kwenye simu kutafuta ukweli. Nilipofahamu kama ni kweli nililia kama mtoto hata sijui machozi yalitokea wapi. Mwenyezi Mungu ni mkubwa.

 

Bongo imejaa wanafiki,fikiria watu kama Polepole,Kabudi,Bashiru wangeweza kugeuka waimba mapambio
 
Huwezi kuongoza nchi kwa huruma
Ya kupigwa risasi uraisi huwa haujaribiwi
 
Huwezi kuongoza nchi kwa huruma
Ya kupigwa risasi uraisi huwa haujaribiwi
Nadhani hujawaelewa watu,


mtu huyu anastahili kama angalikuwa sio mtu wa kusimamia kile anachokiamini

basi angelikuwa kimya kwa hofu ya magazine

Lakini ni imara mwenye courage and he is going to make a brave leader.

Hii ndio maana yao
 
Huwezi kuongoza nchi kwa huruma
Ya kupigwa risasi uraisi huwa haujaribiwi
Babu yenu alisokomezwa kuwa rais, ndoto zake ilikuwa aje awe IGP. Ampishe lissu watz kwa pamoja tunamtaka awe rais wetu na kura zetu zote ni kwa lissu
 
Kura yangu kwa Lissu ni kwasababu anastahili kuwa Rais wa JMT


Kwanza you have to declare interest, je Wewe ni mwanamke mweusi au mweupe???--- isiwe ni wewe ni mweusi na unataka kupiga kura ya chuki kwa yule Boss mpenda mkorogo (vyeupe).🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…