KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hawa wachumia tumbo ni wapumbavu sana. Sasa ndio anastuka?
Alipokuwa yeye akifaidi na familia yake fadhira za huyo dikteta mbona hata siku moja hakusikika akisema jambo.
Ingekuwa inawezekana hawa wote ni wa kutupwa ndani kwa kulisababishia taifa hasara kubwa, hasara walizosababisha walipokuwa wakifaidi chini ya miguu ya Magufuli.
Halafu hata mijitu hii haioni aibu mbele za waTanzania!