KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hawa hawa ndio miongoni mwa watakao sema pia Samia wa juzijuzi hakijui chama au Alishawahi kuwa chama fulani baadae watasema Tanganyika haiburuzwi ngoja tuyaone.
Wanajua ujuha wa watanzania,ndiyo maana the nasema Suluhu ya haya yote ni kuisuka upya katiba yetu baaaasHawa wachumia tumbo ni wapumbavu sana. Sasa ndio anastuka?
Alipokuwa yeye akifaidi na familia yake fadhira za huyo dikteta mbona hata siku moja hakusikika akisema jambo.
Ingekuwa inawezekana hawa wote ni wa kutupwa ndani kwa kulisababishia taifa hasara kubwa, hasara walizosababisha walipokuwa wakifaidi chini ya miguu ya Magufuli.
Halafu hata mijitu hii haioni aibu mbele za waTanzania!
Nakwambia njomba uchimung'unye wala uchiteme 😂😂Ongezeni utambi moto usizime, hapa ukichimama nchale ukikimbia nchale.
Ccm ni adui wa maendeleo ya wananchi hivyo ikifa litakuwa jambo jemaHuyo mzee kaletwa ili walio nyuma ya Polepole wajitokeze. Unfortunately kuna angle CCM inajipeleka tuombe ifike huko ili wasambaratike. Mpasuko ni mkubwa na unapoelekea itakuwa worse.
Hawa wazee wote ni takataka kabisaHawa wachumia tumbo ni wapumbavu sana. Sasa ndio anastuka?
Alipokuwa yeye akifaidi na familia yake fadhira za huyo dikteta mbona hata siku moja hakusikika akisema jambo.
Ingekuwa inawezekana hawa wote ni wa kutupwa ndani kwa kulisababishia taifa hasara kubwa, hasara walizosababisha walipokuwa wakifaidi chini ya miguu ya Magufuli.
Halafu hata mijitu hii haioni aibu mbele za waTanzania!
Vizee vichawi vinakula "mayai" yake.Wakati Wa Mzilankende Nakumbuka Huyu Bulembo Alipigwa Bit Kali Na Rashid Gwajima Akafyata Mkia
Aliambiwa Abdallah Nakuonya, Ukisema, Nikisema Nchi ITATIKISIKA Nayajua Yote
Ilikuwa Kahama, Basi Bulembo Alifyata Mkia Kama....
Ko Ko
Ila mimi sioni kama kuna mpasuko,siasa mara zote bila kuwa na misuguano ni kama mpira bila ushabiki,bado tuko kwenye right track...Huyo mzee kaletwa ili walio nyuma ya Polepole wajitokeze. Unfortunately kuna angle CCM inajipeleka tuombe ifike huko ili wasambaratike. Mpasuko ni mkubwa na unapoelekea itakuwa worse.
Hatari SanaVizee vichawi vinakula "mayai" yake.
Umetisha mwanaKuna haja ya vyombo vya sheria kumchukulia hatua Bulembo kwa kuhujumu mali za jumuia ya wazazi na pia kuchunguza jinsi alivyomdhulumu mjane kiwanja na kuvunja nyumba yake huko mbezi beach; mama huyu aliyedhulumiwa mpaka hivi sasa analala nje pamoja na watoto wake!
Sijawahi kuwa mwana CCM wala mwanachama wa chama chochote. Nilisimama na Chadema kwenye specific issues kabla hatujaona rangi yao nyingine! Nikasimama JPM pia kwa kuamini uzalendo wake kusimamia rasilima zetu. Nakwenda na ajenda si watu au chama.Hadi wewe mataga unaombea hivyo!
Bulembo mwizi huyuwa mali za Ccm mwingine.Bulembo ameshasema mleteni huyo kiroboto kwenye mdahalo apambane nae kwa hoja na yupo tayari kulipia ukumbi Serena Hotel.
Na muache kelele hilo twangapepeta lina wenyewe.