Mzee Bulembo acha kudhalilisha watu kwa kuharibu diplomasia wakati wewe ndio muharibu

Ewaaa sasa ili haya yasikike vema mpelekeni kiroboto kwenye huo mdahalo na Bulembo ili kila mmoja atolee ufafafanuzi shutuma zake.
 
Bulembo ameshasema mleteni huyo kiroboto kwenye mdahalo apambane nae kwa hoja na yupo tayari kulipia ukumbi Serena Hotel.

Na muache kelele hilo twangapepeta lina wenyewe.
Kwanza arudishe pesa za shule za jumuia ya wazazi alizowauzia vigogo , Bulembo ni ''zero brain'' kubishana nae ni sawa na kubishana na muokota makopo barabarani.
 
Kwanza arudishe pesa za shule za jumuia ya wazazi alizowauzia vigogo , Bulembo ni ''zero brain'' kubishana nae ni sawa na kubishana na muokota makopo barabarani.
ewaaa haya maelezo mtamuambia kwenye huo mdahalo alioomba kufanya na polepole.
 

Lakini Huyo mzee havuti bangi Chato
 

Amelifanyia nini hili taifa huyu Bulembo.
Polepole anapigania haki za Watanzania kujieleza, kujitambua na kutambua haki zao.

Anatoa Elimu juu ya , haki, misingi, chanzo, maana ya demokrasia.

Watu wamebaki kumpinga kwa mipasho,KY jelly walioiweka wao, ili kuwatoa watu kwenye hoja.

Mmevamia nyumba yake, mmeiba TV, mmeweka KY mezani muipige picha, mmetupa vitu vyake vyote kama toilet papers, towel, kila kitu ili kumdhalilisha , kuondoa crecibility yake.

Hoja hata moja hamjawahi kuijibu. Kimsingi anasema hakuna awamu ya sita, ni kwamba anakwambia kiongozi aliondoka ni Mmoja JPM. Wote walikuwa wasaidizi wake, walipigania timu moja, sera moja. kitu kimoja. Awamu hii haikuchanguliwa upya na sera mpya, bali wanatekeleza sera za awamu ya tano.

Sasa hivi wanasema kila kibaya ni cha awamu ya Tano, Wakati walikuwa wasaidizi wakuu. Kila kizuri ni awamu ya sita.

Hata mkimuua Polepole, itakuwa ni sawa tu, yeye alishaamua kujitoa kutetea Watanzania mkisema ni gay ni sawa, wana propaganda za kitoto sana. Sababu kubwa hawana uwezo wa kujenga hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…