Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Ni Mzee Butiku. Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa
Kufuata amri haramu sio acceptable defense, unless umewekwa kwenye mazingira ya do-or-die!Polisi wanaonewa tuu mana hao wanafuata amri ya mabosi zao
Unazijua amri za jeshi?Kufuata amri haramu sio acceptable defense, unless umewekwa kwenye mazingira ya do-or-die!
Lau Masha alikuwa waziri wa mambo ya ndani alishindwa uchaguzi, adadi rajab alikuwa DCI alishindwa uchaguzi, polisi kusema wanaweza msaidia kushinda ni dhana potofu, siasa ni sayansi, hakuna mgombea alishawahi tangazwa na police, tusiwapake police rangi nyeusi.Ni Mzee Butiku. Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa
Nimeziishi; kuna amri halali na amri haramu. Hata kwa sheria za kijeshi, askari hana wajibu wa kutii amri haramu za superior wake!Unazijua amri za jeshi?
Ni bora aache kazi aende zake shamba akalime kuliko kupora haki za Watanzania.Ni Mzee Butiku. Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa
hivi polisi hapa wanahusikaje? hayo maelekezo toka juu kwa nani? tusitake kulichokonoa jeshi letu, na ukithubutu ujue liko imara kwelikweliMzee acha porojo,
Polisi annafuata order toka juu,
Kwann walioko juu wanapokea order ovu na kuzisgusha kwa askari wa chini?
Ni Mzee Butiku. Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa
Wewe ndiyo hovyo na chawa asiyefaa kabisa. Ushindwe na ulegee sana tu.Ni Mzee Butiku. Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa
PoliccmNi Mzee Butiku. Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa
Somo la uzalendo linahitajika kwa kikosi hiki..maana wamekuwa vibaraka wa CCM.Ni Mzee Butiku. Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa
Utajuaje kuwa amri fulani n haramu au halali?Nimeziishi; kuna amri halali na amri haramu. Hata kwa sheria za kijeshi, askari hana wajibu wa kutii amri haramu za superior wake!
Mzee Butiku ni bora angelikaa kimya tu. Hivi Taasisi ya Mwalimu Nyerere anayoisimamia inafanya kazi kweli?Ni Mzee Butiku. Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa