Mzee Butiku: Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa

Mzee Butiku: Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa

Mzee Butiku alikuwa jeshini. Hakumbuki kiapo cha utii cha askari na adhabu ya kutotii amri?
 
Tan-pol ni majizi yaliyovaa uniform na ni adui wa wananchi.
 
Tuacheni kuwatetea Polisi kwenye mambo haramu. Kuna kanuni za maadili ya utumishi wao ambayo yapo kwa kila kazi.

Hata kama siyo polisi, boss wako akikuambia uibe, je utatekeleza sababu tu ni boss wako??
Au utafikiria kwanza kabla ya kuamua kutenda?

Kama hiyo kazi haifuati sheria na inataka upokee maelekezo bila kuyachuja, ni bora ufuate ushauri wa Butiku, kuwa ukalime na kufanya vibarua tu.
 
askari sio mwalimu wa katekisimu, anakiapo na anatimiza kiapo chake, ffu akiamrishwa awatawanye halafu aanze kuuliza kwani wamefanyaje? litakuwa jeshi la tz au la congo? acheni kuwafungamanisha askari na mambo yenu ya kisiasa, nchimbi wala wasirra hawajawahi amrisha mtu akamatwe, askari wana taratibu zao za kiutendaji na wana command cetre zao, hawawezi amrishwa na butiku
 
Sijui, lakini at least kuna gray area kwenye hiyo case. Aquilina aliuliwa na stray bullet!
Wapo kazini.

Hy gray area n huko mitaani na sio huko kazini kwao mana wametekeleza amri ya boss wao, na ndo kitu mm nachozungumzia.

Polisi mnawaonea tuu kwenye hizi ishu, Ht ingekuwa ni ww bado ungefanya haya haya.
 
Back
Top Bottom