Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Hakuna amri iliyo juu ya katiba ya nchi.Unazijua amri za jeshi?
Na kuna katiba moja tu inayofunika sheria, kanuni amri.n.k., hapa Tanzania.
Hakuna amri iliyo juu ya katiba ya nchi.Unazijua amri za jeshi?
Kuua watu wasio na hatia na kusingizia ni majambazi, kuteka watu, Kutumika kisiasa, kushiriki matukio ya wizi.Kwa akili hy huwezi Ht kuwa diwani, ukitaka kuamini hilo em taja kosa moja la hao polisi inayokufanya useme hayo
Iwafikie mazuzu wa jf kina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah the empty pumpkin heads from uzwazwa village.
Amri yoyote sharti iwe halali kabla ya kutekelezwa na askari wa chini. Ndio maana kuna somo la sheria kwenye kozi za upolisi na pia kuna mahakama za kijeshi.Polisi wanaonewa tuu mana hao wanafuata amri ya mabosi zao
ukiamrishwa kaweke kura za wizi kwenye sanduku ni amri haramu siyo halali inavunja sheria za nchi, nkUtajuaje kuwa amri fulani n haramu au halali?
ama aawambia simama vua nguo zote na kisha geuka?😀Mfano: Superior wako anakuamuru umpige risasi girlfriend wake. Hiyo ni amri halali au amri haramu? Kwanini?
Hy n amri haramu kwenu uraiani na sio huko jeshinu
ukiamrishwa kaweke kura za wizi kwenye sanduku ni amri haramu siyo halali inavunja sheria za nchi, nk
Hongera kwako!Nimeziishi; kuna amri halali na amri haramu. Hata kwa sheria za kijeshi, askari hana wajibu wa kutii amri haramu za superior wake!