Mzee Butiku: Polisi anayekubali Kutumika Kwa kufata maelekezo ya kile anachoambiwa, HAFAI kabisa

Your browser is not able to display this video.
 
Polisi wanaonewa tuu mana hao wanafuata amri ya mabosi zao
Amri yoyote sharti iwe halali kabla ya kutekelezwa na askari wa chini. Ndio maana kuna somo la sheria kwenye kozi za upolisi na pia kuna mahakama za kijeshi.
 
Nimeziishi; kuna amri halali na amri haramu. Hata kwa sheria za kijeshi, askari hana wajibu wa kutii amri haramu za superior wake!
Hongera kwako!
Tusikae kimya watu wajinga wanapopotosha mambo.
Amri halali inatekelezwa..
Amri haramu haipaswi kutekelezwa..ndio maana Kuna adha bu kwa askari ambaye katekeleza Amri haramu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…