BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Hivi Rais Samia Mama wa Watanzania Muisilamu safi kabisa haoni haya yanayotokea,au hana uwezo wa kuyazuia,au wanaofanya wanafanya kwa maelezo yake? inasikitisha sanaMzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajili TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025 na watu wenye silaha nzito za moto waliojitambulisha kuwa ni Polisi.
Tukio hili limetokea nyumbani kwake karibu na hospitali ya rufaa Mbeya, ambapo alitupwa kwenye gari kisha watu hao wakatokomea naye kusikojulikana.
View attachment 3505656
View attachment 3505657
wenzenu hawatek kuwatishen , wenzenu wanauza viungo vya wa2 , endelea kuonesha jasiri wa mitandaoni bila kuchukua hatuaIngekuwa vizuri zaidi kama ungeandika ''It is just a matter of foolishness''. Hawajiulizi kwa nini wanateka kila siku lakini watu hawaogopi? mean Samia kazungukwa na watu wapumbavu kweli kweli. Mmi sina uzoefu wowote kwenye uongozi lakini ungeniambia nimshauri nina uhakika ningekuja na njia nzuri sana ambazo zingefanya aonekane yeye ni rais bora kuliko wote waliowahi kutawala Tanzania.
Kwa nini akemei? Kwa nini yeye hasiki au kusoma,inawezekana yeye ndiye huomba apelekewe na kuwauwaKuna wakati nahisi ukute bi mkubwa Wala hana tabu na mtu,ila Kuna kikundi ndani ya mfumo wanafanya yote haya ili kumvuruga..
Usisubiri hata D9, njoo nipo Msewe karibu na Kanisa KatolikiVipi D9 mimi kwasababu na kufahamu tutaonana
Mzee alikuwa unguided missileMzee alikua anagusa kotekote...ila hawatamuua..hilo nina uhakika
Kwani Ali ..Mzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajili TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025 na watu wenye silaha nzito za moto waliojitambulisha kuwa ni Polisi.
Tukio hili limetokea nyumbani kwake karibu na hospitali ya rufaa Mbeya, ambapo alitupwa kwenye gari kisha watu hao wakatokomea naye kusikojulikana.
View attachment 3505656
View attachment 3505657
kila siku umefika mwishoHuu utawala umeshafika mwisho
Acha kumtetea huyu shetani. Kama wewe usiyekuwa na intelejensi briefing kila siku unajua utekaji upo sembuse yeyeKuna wakati nahisi ukute bi mkubwa Wala hana tabu na mtu,ila Kuna kikundi ndani ya mfumo wanafanya yote haya ili kumvuruga..
Kama ni biashara ya viungo ina maana hakuna aliye salama. Hata usipoonyesha ujasiri kuna siku utachukuliwa. Si wanataka viungo?wenzenu hawatek kuwatishen , wenzenu wanauza viungo vya wa2 , endelea kuonesha jasiri wa mitandaoni bila kuchukua hatua
Mkuu Ccm inaenda mwisho nashukuru umegua hiloLilikuwa ni suala la muda tuu, kama ambavyo ni suala la muda huu utawala kufikia mwisho.
Bongo bhana...Mzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajili TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025 na watu wenye silaha nzito za moto waliojitambulisha kuwa ni Polisi.
Tukio hili limetokea nyumbani kwake karibu na hospitali ya rufaa Mbeya, ambapo alitupwa kwenye gari kisha watu hao wakatokomea naye kusikojulikana.
View attachment 3505656
View attachment 3505657
Criminals ruling Tanzania, Samuya utateka watu wangapi ndiyo uridhike? Kama unadhani watu watarudi nyuma na kuogopa forget that, ndiyo unazidi kupandisha raia hasira na vita ufe wewe au utuue sisi sote.Mzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajili TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025 na watu wenye silaha nzito za moto waliojitambulisha kuwa ni Polisi.
Tukio hili limetokea nyumbani kwake karibu na hospitali ya rufaa Mbeya, ambapo alitupwa kwenye gari kisha watu hao wakatokomea naye kusikojulikana.
View attachment 3505656
View attachment 3505657
Sio kama imetengenezwa? Ktk harakati za kuchochea hofu?Mzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajili TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025 na watu wenye silaha nzito za moto waliojitambulisha kuwa ni Polisi.
Tukio hili limetokea nyumbani kwake karibu na hospitali ya rufaa Mbeya, ambapo alitupwa kwenye gari kisha watu hao wakatokomea naye kusikojulikana.
View attachment 3505656
View attachment 3505657