Wewe huu ugoro ulioandika hapa ndiyo umethibitisha hoja ya Mzee Msuya, uwongo uwongo tu umejaa huko CCM.Msuya ni CHADEMA sema wakati huo hatukuwa na multiparty. Akitumia rasilimali za nchi wa upendeleo maeneo ya kwao akiwa waziri mkuu akiwa waziri wa fedha. Hivyo hivyo na Mtei. Na Mrema naibu Waziri Mkuu. Na Sumaye. Sokoine pekee alikuwa Mzalendo lakini kazungukwa na wakuu wa mashirika ya umma. Waziri Mkuu wote tangu uhuru wametoka huko. Na Waziri wa Fedha, na Elimu. Hakuna cha ajabu wanajitokeza hadharani sasa kuhalamisha madhambi yao ya ukabila huko nyuma
Mzee ameamua kuongea ukweli, tatizo lililopo wale wanaoambiwa huo ukweli hawataki kuufanyia kazi, wameamua kutuzibia masikio wakidhani wanatukomoa, matokeo yake tunaendelea kupoteza muda tu kama taifa.
Hao hawajui hata wanafanya nini duniaHalafu anakuja Mnyiha mmoja anajiita chawa wa mama, Lucas mwashambwa anaitukana CHADEMA, wewe, wewe, kama hujaanza kupungukiwa na nguvu za kiume, basi huu mwezi hauishi.
Hizi nafasi ziwe zinatangazwa watu wanafanya interviewTujibu hoja zao, leo hii mawaziri wemetokea wapi na wanafanya nini kwenye taifa lao hili zuri Tanzania lilojaa rasilimali mali nchi ambayo kuteuliwa lazima historical background of leadership should be considered! Anateua kulingana na kiu ya maendeleo aliyonayo anajikuta anateua na wale wanaopenda uwaziri na kuvuta pumzi wakisikia kuna mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri. Baraza la mawaziri wakati huu linatokana wengi anayepiga kazi awezu tuu ukicheki familia ayalitokea mama yake food vender tuachane hawa wa koo wanatuangusha kaskazini hawahusiki na umaskini tunaolialia nao
Wajinga nyie, nyie mlizuiwa na nani kupeleka maendeleo kwenye maeneo yenu?Msuya ni CHADEMA sema wakati huo hatukuwa na multiparty. Akitumia rasilimali za nchi wa upendeleo maeneo ya kwao akiwa waziri mkuu akiwa waziri wa fedha. Hivyo hivyo na Mtei. Na Mrema naibu Waziri Mkuu. Na Sumaye. Sokoine pekee alikuwa Mzalendo lakini kazungukwa na wakuu wa mashirika ya umma. Waziri Mkuu wote tangu uhuru wametoka huko. Na Waziri wa Fedha, na Elimu. Hakuna cha ajabu wanajitokeza hadharani sasa kuhalamisha madhambi yao ya ukabila huko nyuma
Yule jamaa ni transgender asikuumize kichwaHalafu anakuja Mnyiha mmoja anajiita chawa wa mama, Lucas mwashambwa anaitukana CHADEMA, wewe, wewe, kama hujaanza kupungukiwa na nguvu za kiume, basi huu mwezi hauishi.
Kwani alijenga kiwanja cha ndege kwenu kama lile zombi lenu la chato?🐐🐐🐸🐸💩💩nyieMsuya ni CHADEMA sema wakati huo hatukuwa na multiparty. Akitumia rasilimali za nchi wa upendeleo maeneo ya kwao akiwa waziri mkuu akiwa waziri wa fedha. Hivyo hivyo na Mtei. Na Mrema naibu Waziri Mkuu. Na Sumaye. Sokoine pekee alikuwa Mzalendo lakini kazungukwa na wakuu wa mashirika ya umma. Waziri Mkuu wote tangu uhuru wametoka huko. Na Waziri wa Fedha, na Elimu. Hakuna cha ajabu wanajitokeza hadharani sasa kuhalamisha madhambi yao ya ukabila huko nyuma
Well naratedKitu muhimu kwa watanzania ni kukubali facts ili waendelee. Vyama vya siasa vipo kama njia ya kuwapata viongozi wa kuunda serikali itakayowaletea maendeleo.
Kwa kuwa nchi yetu ina siasa za demokrasia ya vyama vingi, lazima watu wajue ushindani wa hoja ni muhimu sana. CCM kama chama lazima kitumie watu wenye akili nzuri na upeo wa kutoa hoja badala ya kutegemea nguvu za vyombo vya dola muda wote.
Changamoto kubwa CCM ni muunganiko na serikali ambayo pia huongoza vyombo vya dola hivyo wanachama kuogopa kushughulikiwa wakitoa hoja zenye mantiki kwa uhuru.
Jingine ni fikra za kujipendekeza ili wapate teuzi, ambapo utamaduni huo hufanya kazi.
Mzee wa watu wasije wakamlisu au kumjobundugaiHawatakubli mzeee Cleopa...
Mzee hana tatizo kama chumv kashaitumia sana kazidi ata ile ya ahadi ya Bible ata WakimLissu poa tuMzee wa watu wasije wakamlisu au kumjobundugai
actualy weakness wanayoitukuza always ni kulalama kwa mtindo uleule miaka nenda miaka rudi.Mwanasiasa mkongwe CLEOPA DAVID MSUYA amesema CHADEMA ni wazuri na MAHIRI KWA KUCHAMBUA MAMBO KISOMI KULIKO CCM na amewataka CCM waige CHADEMA wanavyofanya.
View attachment 2739400
Mzee Msuya anafahamu kuwa ndani ya CCM uhuru wa fikra na mawazo na matumizi Bora ya akili na weledi vinafifishwa na illuminati na freemasons ndani ya CCM na serikali wanaoabudu mbuyu na kuzama Baharini. Mgongano wa kifikra na mawazo kinzani ndani ya CCM hamna ndiomana CCM inakuwa hadi na Rais mwepesi kichwani kama kipepeo na panziMwanasiasa mkongwe CLEOPA DAVID MSUYA amesema CHADEMA ni wazuri na MAHIRI KWA KUCHAMBUA MAMBO KISOMI KULIKO CCM na amewataka CCM waige CHADEMA wanavyofanya.
View attachment 2739400
Vita ni vita mura. Hawa ni watu wazito. Rais Dkt Samia naona wanamuandalia mrithi kwa njia mbadala. Ushauri: Hakuna haja ya kumjibu mzee Msuya.Mwanasiasa mkongwe CLEOPA DAVID MSUYA amesema CHADEMA ni wazuri na MAHIRI KWA KUCHAMBUA MAMBO KISOMI KULIKO CCM na amewataka CCM waige CHADEMA wanavyofanya.
View attachment 2739400
Msuya ni CHADEMA sema wakati huo hatukuwa na multiparty. Akitumia rasilimali za nchi wa upendeleo maeneo ya kwao akiwa waziri mkuu akiwa waziri wa fedha. Hivyo hivyo na Mtei. Na Mrema naibu Waziri Mkuu. Na Sumaye. Sokoine pekee alikuwa Mzalendo lakini kazungukwa na wakuu wa mashirika ya umma. Waziri Mkuu wote tangu uhuru wametoka huko. Na Waziri wa Fedha, na Elimu. Hakuna cha ajabu wanajitokeza hadharani sasa kuhalamisha madhambi yao ya ukabila huko nyuma