Kitu muhimu kwa watanzania ni kukubali facts ili waendelee. Vyama vya siasa vipo kama njia ya kuwapata viongozi wa kuunda serikali itakayowaletea maendeleo.
Kwa kuwa nchi yetu ina siasa za demokrasia ya vyama vingi, lazima watu wajue ushindani wa hoja ni muhimu sana. CCM kama chama lazima kitumie watu wenye akili nzuri na upeo wa kutoa hoja badala ya kutegemea nguvu za vyombo vya dola muda wote.
Changamoto kubwa CCM ni muunganiko na serikali ambayo pia huongoza vyombo vya dola hivyo wanachama kuogopa kushughulikiwa wakitoa hoja zenye mantiki kwa uhuru.
Jingine ni fikra za kujipendekeza ili wapate teuzi, ambapo utamaduni huo hufanya kazi.