TANZIA Mzee Damas Assey, mmiliki wa Rose Garden afariki Dunia

TANZIA Mzee Damas Assey, mmiliki wa Rose Garden afariki Dunia

Mmiliki wa Baa Maarufu Dar es Salaam na Tanzania iitwayo ROSE GARDEN iliyopo Mikocheni Dar es Salaam, Mzee Damas Assey amefariki Dunia leo.

Mzee huyu ambaye pia anamiliki Shule za St. Florence na pia ni Baba Mzazi wa Mmiliki wa Kiota Maarufu Dar es Salaam cha Tripple 7, Mlatie Damas Assey.

RIP Mzee Assey

Apumzike kwa amani Damas Assey.

Wakitangaza ni janga itawanyima uhalali wa kutukamua kodi na tozo.

Ngoja wasimamishe uchumi wao Kwanza.
 
Ila Wachgga wamejiwekeza sana
halafu mnawaita wezi.Kuna kiongozi mmoja(RIP) alikuwa ana dhana kuwa wachaga wote ni wezi kumbe ni wachapa kazi ni waoga sana wa maisha hata mwanamke wa kichaga ukioa utaona faida yake hachagui kazi ya kufanya kwa kuona aibu.Makabila mengine yanawaza kushindana kununua khanga na kucheza ngoma.Jinsi ya kumfurahisha mwanaume kwa ngono.
 
Dah pole kwa familia ya mzee Assey, ni wiki kadhaa sasa toka mmiliki mwingine wa Rose Garden ya Dodoma aliaga dumia Fredy Sam
 
Mmiliki wa Baa Maarufu Dar es Salaam na Tanzania iitwayo ROSE GARDEN iliyopo Mikocheni Dar es Salaam, Mzee Damas Assey amefariki Dunia leo.

Mzee huyu ambaye pia anamiliki Shule za St. Florence na pia ni Baba Mzazi wa Mmiliki wa Kiota Maarufu Dar es Salaam cha Tripple 7, Mlatie Damas Assey.

RIP Mzee Assey
Made up his dreams.R.I.E.P
 
Wapangaji zetu wa tatu,wamefiwa mfululizo na wazazi wao,

Marafiki zangu wamefiwa na wazazi wao wengine wakwe zao yaani sielewi[emoji24]wazee wanapukutika
 
Duh!kuna wakati huyu mzee alioa dogodogo akahamia Dubai ila alikuja rudigi
Ile bar Rose Garden alipotoka Mlatie tu mambo yakaenda sivyo

RIP lakini
Post za Kingese kama hizi sijui Zina faida gani

mleta post tujaribu basi respect his wife and children katika kipindi hiki

tuwe sensitive na familia za watu hata Kama zetu zimeharibika
 
Mmiliki wa Baa Maarufu Dar es Salaam na Tanzania iitwayo ROSE GARDEN iliyopo Mikocheni Dar es Salaam, Mzee Damas Assey amefariki Dunia leo.

Mzee huyu ambaye pia anamiliki Shule za St. Florence na pia ni Baba Mzazi wa Mmiliki wa Kiota Maarufu Dar es Salaam cha Tripple 7, Mlatie Damas Assey.

RIP Mzee Assey
WACHAGAA nyoko aisee, kila nyanja ya kijanja ni wao wanakamatia, sisi watu back sijui tulikuwa wapi.
 
Back
Top Bottom