Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
watu hawana huruma, watu wa bara huko.Post za Kingese kama hizi sijui Zina faida gani
mleta post tujaribu basi respect his wife and children katika kipindi hiki
tuwe sensitive na familia za watu hata Kama zetu zimeharibika