TANZIA Mzee Damas Assey, mmiliki wa Rose Garden afariki Dunia

Post za Kingese kama hizi sijui Zina faida gani

mleta post tujaribu basi respect his wife and children katika kipindi hiki

tuwe sensitive na familia za watu hata Kama zetu zimeharibika
watu hawana huruma, watu wa bara huko.
 
Mchaga anaiba mara moja tu alafu anawekeza[emoji125][emoji125]
 
Ila wanaondoka mapema. Nilifikiri ukiwa nazo inabidi uishi maisha marefu kuliko vizee vya kijijini visivyokuwa na huduma. Ni kama aki na mangi wanabeba mizigo ya kutumia akili mpaka wanapata magonjwa ya moyo.
Bado haitoi justification za kuwa masikini
 
Post za Kingese kama hizi sijui Zina faida gani

mleta post tujaribu basi respect his wife and children katika kipindi hiki

tuwe sensitive na familia za watu hata Kama zetu zimeharibika
Bro

kama yeye alikamata kijidemu kibichi bichi akahamia nacho Dubai, na jamii nzima ikajua basi ni yeye ndio hakuheshimu his wife and children…
 
Bro

kama yeye alikamata kijidemu dogo dogo akahamia nacho Dubai, na jamii nzima ikajua basi ni yeye ndio hakuheshimu his wife and children…
Two wrongs don’t make it right

never

Kama nimekukosea, na kosa lileikajudhilisha wewe, basi hakuna faida ya mpita njia kuendelea kuliongelea hasa in my absence

kwasababu mkosaji sipo, unayemtonesha ni mhanga tu

let’s have sympathy for any victim mkuu

usibariki dhalili
 

ukifa madhambi yako hayafutiki

legacy yako ikiandikwa ikasema alikuwa mjasiriamali wa mabaa na mashule na ulisomesha yatima itakuwa rekodi yako haijakamilika

makando kando yako lazima yatakumbukwa na yatatumika kuwanasihi wengine wasiwe na tabia hizo

ye mwenyewe hakuheshimu mke na watoto, unataka waheshimiwe na nani, wapita njia ?

ridiculous…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…