Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa David Msuya ambaye amefariki leo Mei 7, 2025 alipokuwa akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Mzena
Hao ndo msingi wa ufisadi, walikuwa na nafasi ya kutengeneza taasisi imara kwa msingi wa sheria lakini hawakufanya hivyo, tuko hapa kwa sababu yao.Wazee wetu wazalendo wanaishia ivyo
Na wafisadi wameshika hatamu
Lazima tuwatie adabu safari hii.Maji yanafata mkondo, kama wazazi wako walikuwa wapiga debe, huo ndio mkondo wako, ufate
Lete ushahidi maana wabongo wengi mmejaa majungu na imani za kichawi.Anafahamu wazi. Mwenzie kapata ajali yeye kafanya sherehe kwa siri nyumbani kwake.
😀 vichekeshoAlikuwa anapigania Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, Apumzike kwa Amani
Maendeleo hubiri wewe unayeyaona..na wahuni ni hao wanaolaghai watu kusifia vitu vidogo walivyofanya wakati majukumu yao!Rest in Peace Cleopa David Msuya! Umeipigania nchi na kuifikisha pazuri!! Leo wahuni wachache wanaacha kuhubiri maendeleo wanahubiri No Reform No Election!! Pathetic!!
Rest well Jongwe!! Rest in peace Simba!!
Ona kama walivyomfanya Mdude Nyangali, Akwilina na Ben Saanane. Katiba Mbovu, uonevu kila pahala.Nilijua huwa hawafai wao wataishi milele kumbe nao wanakufa.
Sasa kwanini wanakuwa mateso kwa wenzao ?
Ww ni Gen zSamahani ndugu, ndo nani huyo
Yes, Pole kwa familia na Job MsuyaMzee Msuya tayari mwaka 1965 alikuwa kamishna wizara ya fedha!!,
Hiyo ni kwa mujibu wa ankal wangu.
Mungu akupe nini tena wafanya kazi na wazungu wakoloni jikoni hazina!
Anyway, Job na familia poleni sana.
RIP.
Soka mpaka leo moyo wangu umejaa maumivu kama ningekuwa na uwezo ningefunga mdomo wa ndugu yangu Soka usiseme jambo la kuichukiza mamlaka au ningezuia safari yake ya mwisho lakini yote hayo hayakuwa ndani ya uwezo wangu ana niuma Soka mpaka kesho huku hawa wahuni wana furahia maisha wao na familia zao kwa kweli vifo vyao ni tafrija kwangu hata kama najua nami nitakufa.Ona kama walivyomfanya Mdude Nyangali, Akwilina na Ben Saanane. Katiba Mbovu, uonevu kila pahala.