TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

Kama mtu amevunja sheria za nchi, si kuna mahakamani?? Apelekwe huko basi. Hao madhalimu siku inakuja mkuu kama ilivyokuwa kwa Saddam Hussein wa Iraq
 
Kumbe nao huwa wanakufa ? Ha ha ha😆


Sasa kwa nini wanatuumiza nakuacha makovu yasiyo tibika katika familia zetu ?

Kwakweli vifo vya wakoloni weusi kwangu ni furaha japo najua nami nitakufa lakini kushuhudia hawa watu wakifa kwangu ni faraja.

Soka yupo wapi ? Bibi yake machozi hayamuishi
 
RIP Mzee Msuya Nasubiri ibada ya mazishi CCM wapigwe za uso tena na maaskofu
 
Sikufahamu kama alikuwa na uzito kiasi hicho hadi taifa linakuwa kwenye maombolezo wiki nzima!

Tunatanguliza pole nyingi kwa familia na shukrani za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa kutujalia maisha ya mzee huyu aliefanya kazi ya utumishi wa uma katika taifa hili.

Apumzike kwa amani.
 
Kama mtu amevunja sheria za nchi, si kuna mahakamani?? Apelekwe huko basi. Hao madhalimu siku inakuja mkuu kama ilivyokuwa kwa Saddam Hussein wa Iraq
Upo sahihi.

Wamejimilisha mahakama na mifumo yote wao ndio wanaamua nani awe hai na nani awe mfu uzuri nao hawana mamlaka ya kuamua kuwa wawe hai milele ama laah.
 
Wazalendo wa kweli ndio wanaishia ivo...Tunabaki na hawa wa 10%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…