TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Wamawake nyie sahv mnawakimbia vijana mnafata wazee mnasema vijana hawatoi hela
Na wakati wa kupiga show wanasimamia baiskeli!
Sahv mtapata kesi sana nyie [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Si anataka kuhongwa vijana hawatoi hela[emoji23][emoji23]
Acha apambane na hali yake

Ova
 
Ni katika harakati za kusaka iphone 12 mkuu! Wanapitia magumu sana hawa dada zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…