TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Mzee yale tuliyokuwa tunasema unakuta mtoto anakuomba iphone 11 ukishindwa mpa anakuambia hujui kujali bora awe na mzee
Wazee sasa wanawafia vifuani
East Wind

Ova
Babu mzee wamemkuta na elfu 37, na simu aina ya techo.. mtoto njaa tu huyo bora angekuja kwangu.. sio kila mzee ana hela.. so maana yake huyo demu alikuwa anakazwa bure au kwa elfu 20.. bureee kabisa 🤨🤨🤨
 
Babu mzee wamemkuta na elfu 37, na simu aina ya techo.. mtoto njaa tu huyo bora angekuja kwangu.. sio kila mzee ana hela.. so maana yake huyo demu alikuwa anakazwa bure au kwa elfu 20.. bureee kabisa [emoji2955][emoji2955][emoji2955]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pisi kali hivi huyo picha yakw haijaawahi kja kwenye uzi wetu kule

Ova
 
Hii habari imenikumbusha mbali sana kama miaka 10 au 12 iliyopita kule Boko Bunju.
Uzuri wake ni kwamba mzee wangu hakufa eneo la tukio, bali alifia nyumbani kwake masaa 6 au 7 hv mbele.

Inauma sana
 
Inasikitisha sana,wazee kama sie kuondoa utu wa mabinti zetu kwasababu ya pesa. Sio nzuri kabisa.. kaeni na mabinti muwafunde, atae sikia ataokoa nafsi yake
 
Lipo la kujifunza kwa vijana haiwezekani mdada mzuri namna hiyo kimuonekano kuwa na mahusiano na mzee wa miaka 80 huku vijana mumejaa tele. Teh.
Rafiki na sie tunapenda mama.. watoto wadogo wadogo bado wachafu hawajui kujisafi ngoma bila bila hapo 😶😶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…