Nathaniel jr
Member
- Dec 8, 2016
- 71
- 70
Eti sasa anataka awe mshauri wa CHADEMA, nafasi alikuwa nayo hakuitumia.Cheo ni sharti la lazima kwake!
Wamemmwaga anatapatapa!!
Kwani Sumaye ni wa kwanza kuleta hizi tuhuma dhidi ya Mbowe?Mpaka mtu anakuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili maana yake hakuwahi kuichoma moto kadi ya CCM.
Alichokifanya leo Mzee Sumaye unaweza kuwa ni mkakati wa kisiasa wa kujibu mapigo ya upinzani haswa pale waliposusia uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kwamba hawa wanaosusia uchaguzi ndio ambao mtu anapotaka kugombea nafasi ya juu anawekewa zengwe kwa kuambiwa kuwa sumu haionjwi. A political strategy.
Dua LA kuku. mbowe ni chuma bro, huwezi shindana naye ukamshinda. Imagine mbowe alikuwa anawatuma mawaziri wastaafu sumaye na lowasa, huyu sio MTU wakumbeza hata kama humpendiHii cha mtoto ...kuna heavyweight boom inakuja! Kuna kagenge kanafikiri kanailinda Chadema kumbe ndio wanaitokomeza.
Very soon ACT ndio kinakuwa chama kikuu cha upinzani! All prominent politicians wanaenda kuungana na Zitto baada ya Mbowe kugomea mabadiliko. Mbowe anaenda kufunzwa siasa na Zitto [emoji41][emoji41]
Mama, kwa akili ya kawaida kabisa, ulitegemea chama kikubwa kama chadema kimpe uongozi wa juu kabisa wa chama mtu kama Sumaye? Mtu ambaye bado ana shombo ya ccm?Haya semeni tena wajinga na manyumbu mnaeburuzwa na Mbowe! Tukiwaambia mbowe anahusika na zile risasi za Lisu mtabisha, sasa mmeona? Mbowe ndiye mmliki wa chadema hakuna wakumtoa pale yyte anaetishia nafasi yake anamng'oa mapema mfno mzuri ni tukio la Lisu, Chacha wangwe na Zito ongezea na hili la Sumaye...nawahakikishia chadema anakufa kifo kibaya na muuaji wake ni Mbowe! Mwakani mkipata hata viti vitano vya ubunge utakuwa ni muujiza wa kugeuza maji kuwa diesel .
Mbona poa tu.shombo ya papa
....kuandika jina lako tu hujui, utajua nini kingine!, kukusaidia tu; peleka huo ushahidi ulionao polisi!Haya semeni tena wajinga na manyumbu mnaeburuzwa na Mbowe! Tukiwaambia mbowe anahusika na zile risasi za Lisu mtabisha, sasa mmeona? Mbowe ndiye mmliki wa chadema hakuna wakumtoa pale yyte anaetishia nafasi yake anamng'oa mapema mfno mzuri ni tukio la Lisu, Chacha wangwe na Zito ongezea na hili la Sumaye...nawahakikishia chadema inakufa kifo kibaya na muuaji wake ni Mbowe! Mwakani mkipata hata viti vitano vya ubunge utakuwa ni muujiza wa kugeuza maji kuwa diesel .
Haahhhahah. Mimi siogopi matusi. Huwa natukanwa sana humu. Kasema atakuwa mshauri wa chama chochote including Chadema. Tanzania hakuna upinzani. Yaani waruhusu mgombea binafsi na sisi tugombee.
Tangu mimi form six hadi sasa ni professional with 8 year in job. Kumbuka shule nimesoma 6 yrs. Can you imagine [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nitaifufua hii comment after 2020 election. Chadema wameshindwa kujipanga kuwa contain hao wanaowaona wanataka kumpindua Mbowe, unfortunately wana nguvu ya either "kugawana mbao" au ku opt kwenda ACT.Ndoto za alinacha hzo@MTAZAMO,
Haya uliyoyasema, ungewashauri na CCM waache kutumia ubavu na vyombo vya dola kwenye chaguzi, kisha tuone kama kweli ramli unazopiga ni za kweli au wewe ndiye umekengeuka.Haya semeni tena wajinga na manyumbu mnaeburuzwa na Mbowe! Tukiwaambia mbowe anahusika na zile risasi za Lisu mtabisha, sasa mmeona? Mbowe ndiye mmliki wa chadema hakuna wakumtoa pale yyte anaetishia nafasi yake anamng'oa mapema mfno mzuri ni tukio la Lisu, Chacha wangwe na Zito ongezea na hili la Sumaye...nawahakikishia chadema inakufa kifo kibaya na muuaji wake ni Mbowe! Mwakani mkipata hata viti vitano vya ubunge utakuwa ni muujiza wa kugeuza maji kuwa diesel .
Nitaifufua hii comment after 2020 election. Chadema wameshindwa kujipanga kuwa contain hao wanaowaona wanataka kumpindua Mbowe, unfortunately wana nguvu ya either "kugawana mbao" au ku opt kwenda ACT.
Zitto mpaka sasa is playing smart kuliko Mbowe! Good enough hata Lissu ataiacha Chadema kwasababu zile zile alipoitema NCCR! NCCR ilipo ndio inapoelekea Chadema!