Nathaniel jr
Member
- Dec 8, 2016
- 71
- 70
CHADEMA inakosa mfumo wa kitaasisi
Mpaka sasa imekuwa ni tamaduni kwa wote wanaoona wanafaa kumrithi Mbowe wanaundiwa nzengwe
Alianza Chacha Wangwe, Zitto pamoja na huyu wa sasa Mzee Sumaye
Kama chadema wana agenda ya kushika dola ni wakati mwafaka kukiondoa chama mikononi wa wachache