Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Chama ni kundi la watu wenye itikadi moja, utamaduni mmoja na wakubaliano yao wenyewe pasipo kushinikizwa toka nje.Katiba ya chadema ndiyo inasema hiki ulichokiandika?
Mnaoishi mjini kwa kulamba viatu vya Mbowe acheni ujinga.
Ukijiona haufiti hapo unakula kona! Kwa vile ulikuwa waziri mkuu basi unajiona unastahili kuwa mwenyekiti? Sifa ya kuwa mwenyekiti huji nayo bali unaipatia ndani ya chama, wakikuambia bado hutoshi unatulia.