Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Katiba ya chadema ndiyo inasema hiki ulichokiandika?

Mnaoishi mjini kwa kulamba viatu vya Mbowe acheni ujinga.
Chama ni kundi la watu wenye itikadi moja, utamaduni mmoja na wakubaliano yao wenyewe pasipo kushinikizwa toka nje.
Ukijiona haufiti hapo unakula kona! Kwa vile ulikuwa waziri mkuu basi unajiona unastahili kuwa mwenyekiti? Sifa ya kuwa mwenyekiti huji nayo bali unaipatia ndani ya chama, wakikuambia bado hutoshi unatulia.
 
Mapandikizi yanajiondoa Yenyewe

Wangemruhusu huyu kuingia kwenye Uongozi yangekua kama ya Lipumba na CUF,
 
Hii cha mtoto ...kuna heavyweight boom inakuja! Kuna kagenge kanafikiri kanailinda Chadema kumbe ndio wanaitokomeza.

Very soon ACT ndio kinakuwa chama kikuu cha upinzani! All prominent politicians wanaenda kuungana na Zitto baada ya Mbowe kugeomea mabadiliko. Mbowe anaenda kufunzwa siasa na Zitto [emoji41][emoji41]
Fake prophet. Afadhali kugomea mabadiliko kuliko kuyakubali na kugeuzwa mtumwa wa ccm. Mbowe is and will always be right.
 
Najiondoa CHADEMA kuanzia leo na sijiunga na chama cha siasa kingine. Nitatumika kutoa ushauri watakaponihitaji chama chochote hata CHADEMA wakihitaji ushauri wangu waniite.


Marehemu Kingunge alisema vivyohivyo kuwa hajiungi na chama chochote
 
Vyama vya siasa AFRICA vina angukia kwenye "iron rule of oligarchy" si CCM wala CDM. Siku zote sielewi kama unapendwa kwa nini wengine wapigwe mikwara. Kwa nini wasigombee na mwenye ushawishi ashinde. Napenda upinzani imara lakini kwa hili naona nyota nyota tu. Si mwana CDM lakini ningefurahi Kamanda Mbowe aendelee kuongoza chama kwa kushinda uchaguzi wa haki na sivinginevyo. CDM ikiiga CCM basi hakuna mwanga huko mbele.
 
Ukishazoea kuhamahama nyumba hutakumbuka kujenga ya kwako yaani wewe utakuwa wa kuhamahama tuu kwa visingizio mbalimbali kuwa baba mwenye nyumba mbaya. Basi jenga ya kwako na ww uwe baba mwenye house
 
Hahaha demokrasia ni Sumaye kushinda uchaguzi?!
Hapana Sumaye kaonewa .Kamati kuu ya CHADEMA ilimwona anafaa na ndiye alikuwa mgombea pekee.Kulikuwa na sababu gani ya kuitisha kura Tena?
 
Dhamira ya mzee Sumaye kuondoka CHADEMA mbele ya kamera ni kuonyesha kuwa ameonewa au ni njia ya kusaidia kuubomoa upinzani kabla ya 2020?
 
Ulafi wa madaraka
Alitegesha ndoana
Kusema kweli aende tu hakuna alilolifanya kwa upinzani alijitegesha tu
Upinzani mjifunze sasa hawa walikuwa makapi mliwapokea bila kutambua nia yao.
Sumaye huna tofauti na mmasai
Leeni wajukuuu msisumbue watu bana
 
Kuna kauli moja hatari Sana "hauwezi kuonja sumu kwa kuilamba" yawezekana kauli hiyo ndio imemuweka lisu pabaya.
 
Aende tuu alidhani cdm kuna mambo ya mchsomcheso kama alikotoka
 
Back
Top Bottom