Ukiwaambia ukweli huu utaishia kutukanwa.Mambo matatu muhimu:
1. Policy makers wa CHADEMA watafakari kuhusu hatua waliyochukua kuwapokea watu wa CCM. Hii iwe fundisho, Viongozi wa CHADEMA wawe wanafanya risk assessment kwa kila jambo wanalokuwa wanataka kufanya.
2. Kulingana na siasa za namba moja, ni sahihi kwa yeyote aliyekuwa na makando kando kuufyata. CCM wanajulikana, nani msafi?
3. Kujiunga na upinzani haijawahi kuwa rahisi ukiachilia kutahamalaki kwa chuki za waziwazi hii leo nchini.
Nope, Zitto haja clarify connection yake na Jack zocks enzi hizokiti cha mwenyekiti chadema kina siri nzito za ruzuku ,zito alishindwa huo mfupa mgumu sana....
Mngemuacha ashindane na shindwe kwenye box la kura sasa vitisho vya nini? Kachukua tu form umemuundia zwengwe ! Chadema imefika mwisho sasa hila zenu zote ziko wazi Mbowe anawamaliza kwa masrahi yake binafsi. Mwakani mtaangukia pua zaidi ya mwaka huu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa! Chadema ni chama cha wahuni , wenye akili timamu hawawezi kudumu pale...yuko wapi Dr. Slaa, Lisu, Lowasa, Zito, na wengine wengi? Mmebakia wajinga watupu endeleeni kuburuzwa tuMama, kwa akili ya kawaida kabisa, ulitegemea chama kikubwa kama chadema kimpe uongozi wa juu kabisa wa chama mtu kama Sumaye? Mtu ambaye bado ana shombo ya ccm?
Tungekuwa wajinga sana. Kwanini wasipewe watu wafia chama kama kina Heche, Lema, Msigwa nk? Tumpe sumaye!
Haitakaa iwezekane.
Watanzani leo tumemsikia aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani Mh Sumaye ambaye ameshindwa kutetea kiti chake hicho akitangaza kujiondoa Chadema baada ya kutoridhika na jinsi Mchakato wa Uchaguzi ndani ya chama unavyoendeshwa na Viongozi wakuu wa chama hicho akiwemo Mh Mbowe .Pia amezungumzia jinsi ilivyo hatari kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa wa Chama hicho inayogombewa na Mh Mbowe. Naomba tujadili japo kidogo juu ya Demokrasia ndani ya Chadema.Je ni sahihi Chadema kulalamika kuwa Tanzania hakuna Demokrasia wakati yenyewe Chadema ndani ya Chama chao wanachama wanalalamika kuwa hakuna Demokrasia?Wanachama wanadai Viongozi wa juu ndio wanatoa maelekezo kwa wajumbe wapige kura nani .
kuwa upinzani panahitaji moyo na uvumilivu naona mzee sumaye imemshinda,
Kwa hiyo kama sio wa kwanza ndio tuzihalalishe?.Kwani Sumaye ni wa kwanza kuleta hizi tuhuma dhidi ya Mbowe?
Acheni utoto!
Sasa anayewaongoza alipata div zero , hapo hamna chama ni wahuni Tu fulaniMngemuacha ashindane na shindwe kwenye box la kura sasa vitisho vya nini? Kachukua tu form umemuundia zwengwe ! Chadema imefika mwisho sasa hila zenu zote ziko wazi Mbowe anawamaliza kwa masrahi yake binafsi. Mwakani mtaangukia pua zaidi ya mwaka huu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa! Chadema ni chama cha wahuni , wenye akili timamu hawawezi kudumu pale...yuko wapi Dr. Slaa, Lisu, Lowasa, Zito, na wengine wengi? Mmebakia wajinga watupu endeleeni kuburuzwa tu
Tatizo uchumi wa Zanzibar ni mdogo,mapato yao sio makubwa Kama huku bara,Kama vipi fungu litoke huku likasaidieAnamaanisha wameshindwa kutenga fungi la pesa za kuwanunua kama walivyofanya huku bara kwa kuwanunua akina Mtulia, Dr. Mollel, Waitara, Gekul na Ole Milya.