Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Bora amejiuzulu wenzie walifukuzwa Kama mbwa.. na wengine kufa kwa utata... Kumbuka mwenyekiti anasimamia mamilions ya ruzuku achilia mbali pesa za wabunge, misaada na michango ya wahisani. Pale Kuna Vita ya masilahi ndugu zangu... Ni Vita ya kifo
 
jd41,
Ila tuwe siriazi kidogo, yaani kwenye uchaguzi ukiweka Sumaye na tofali mumechagua tofali? Yaani mgombea mmoja kafanya na kampeni bila mpinzani kisha akose kura? Domokrasia.
 
Sasa alikuwa hajui kama ndani ya Chadema hakuna demokrasia ? Kwani Lowassa aliwekwa vipi kuwa mgombea Urais Chadema ? Chadema hakuna demokrasia wala maendeleo.

Aisee - umemaliza kila kitu ni kweli kabisa - CHADEMA HAKUNA DEMOKRASIA WALA MAENDELEO. Nimeongeza sauti. Inasemekana Lowassa alitoa "Mlungula" kwa "MMILIKI" wa CHADEMA.
 
Kama chadema inataka mafanikio zaidi inatakiwa kuwaondoa wale wote wanaodhaniwa kuwa wasaliti wa chama mapema iwezekanavyo kabla ya kuanza mchakato wa uchaguzi mkuu hapo mwakani
 
M
Mkuu, mganga hajigangi bhana. Naomba unifikirie ili nami nikufikirie kwenye teuzi zijazo.
Makamu wa Mwenyekiti Prof. Safari kakiri Sumaye kuonewa. Mimi ni nani hata nipinge?

Jana tu Prof. Safari Anatuambia hata kwenye uteuzi teuzi za uongozi ndani ya Chadema zina firigisu na akaazimia kujitoa nafasi ya Umakamu, mie ni nani nitilie mashaka kauli hii?😅😅
 
Chadema wanafeli kwa kudhani only one person ndiyo anaiweza Chadema. Watazidi Ku loose mpaka wote watamchoka Mbowe. Basi wafanye kama ACT Wazalendo
Ni kama tu wanavyofeli CCM kwa kudhani only one party ndiyo inaweza kuongoza nchi hii.Wataendelea kuchokwa mpaka na hizo wanazoita tools.
 
we unayeburuzwa pisha
 
Alitaka cheo na ameona watu hawamkubali analeta habari zisizo na mashiko
 
Kwa ufupi Tanzania hakuna Chama cha upinzani. Wote ni wachumia tumbo tu.
 
Hawa wahamiaji kutoka CCM siyo wa kuwaamini sana.safari njema baba sumaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…