Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Inaknekana we Ni mswahili na siasa za njaa zinakutafuna.. Ni vigumu kunieleawa siku moja utanielewa
 

You are very right! sio yeye peke ake kuna wengi walikuja kimkakati ili waje wakivunje nguvu Chadema
 
Kumbe alifuata uenyekiti wa CHADEMA.....?!!!!
Yaani watu waanzishe chama wakijenge kwa jasho na damu,wewe uje tu,Bado mgeni,hujaaminika na hawajui pengine wewe ni plant on a mission,wakupe uenyekiti kirahisi tu....?.
Who does he think is he?
Ni kwel kbs huyu Sumaye ni usalama wa taifa so alitumwa kukidhoofisha chadema!
Pia ikumbukwe kua chadema ni chama cha wapigania haki za binadamu(freedom fighters) ambacho kinatakiwa kua na viongozi imara wasioteteleka wala kuogopa kufa!
 
Tushaambiwa kuwa ukitaka kugombea uenyekiti CDM unaonekana huna adabu ko msitushawishi kwa vyovyote
Tatizo ni pale wote wanaotoka CCM kuhamia upinzani kutaka kupewa nafasi za juu wakati hata itikadi za vyama hivyo hawazijui!

Swali ni kuwa wanahamia upinzani kusaka vyeo au wamezikubali itikadi za upinzani na kuona ndiyo mbadala wa itikadi za CCM!
 

Taahira anaweza Kujifunza chochote kile kutoka kwa Mwendawazimu Mkuu?
 
That is Good Idea. Halafu mtu mwenyewe hana Madhara yeyote, akwende huko aache Makelele yake.
 
Kwa hiyo kila anayeshauri anatakiwa kuanzisha chama?
 
Tatizo ni pale wote wanaotoka CCM kuhamia upinzani kutaka kupewa nafasi za juu wakati hata itikadi za vyama hivyo hawazijui!

Swali ni kuwa wanahamia upinzani kusaka vyeo au wamezikubali itikadi za upinzani na kuona ndiyo mbadala wa itikadi za CCM!
Huenda aaliombwa kuhamia
Kama Mtu anahamia nakupewa agombee urais itakua uenyekiti wa kanda??
 
Tutakua na vyama vingi sana kwa hoja hiyo.
Kila anayehama chama anapaswa kuanzisha Chama chake.
Basi hii nchi vyama sio itikadi na sera ni vyama vya watu na kila asiyeridhishwa anaanzisha chama.
Msajili atachoka kusajili hivi vyama.
 
Kuanzisha mchezo? Alishindwa kuanzisha Shamba itakuwa chama
 
Mimi ni Chadema lakini kuna tatizo kwenye chama lazima viongozi wajitafakari ikiwemo mbowe
Wewe sio chadema umetumwa pia ila ipo siku utakumbuka maneno yangu kua dikteta hana rafiki pale wewe utakapokua used spare
 
Cdm
Wamethibitisha mambo 2

1)uenyekiti ni wa kifalme(mbie mtai na kanda ileeee
2)kinakwenda kuzikwa rasm 2020 tutabaki na chama 1 ambacho Walao wap wanademocrasia ya kuonekana.
 
Chama pekee ambacho mwanachama ni Marufuku kuchukua fomu ya kugombea Uenyekiti ni CCM.Ni Marufuku hairuhusiwi kabisa
 
Kuwekeza pesa sio tatizo
 
Ninavyompenda Dr Magufuli mimi jamani...... yaani mtu akimsemea ubaya namwona kama adui mkubwa wa maendeleo ya nchi hii

Watch out one day you will come to regret to your comments! today you are a hot cake bcoz ur active user but when u become used spare is when you will realize you were wrong
 
Bado wa kanda ya kati naye tuna mzoom tu, ahsante lema kwa kazi nzuri, waziri kivuli wa mambo ya ndani.
Wa Kanda ya Kati aliacha Ubunge wake akaja upinzani ambako hakuna maslahi yeyote.Nadhani huyu ana asilimia nyingi kidogo za kuaminika
 

Don't trust with Zitto look on History! Chama gani cha upinzani wa kweli kilichopewa nafasi za uongonzi awamu hii ya tano? If not ACT wazalendo?be realistic otherwise you don't have intrinsic love to ur country
 
Sumaye ni pandikizi lililokuwa liimalize Chadema from within lakini bila aibu linalijifanya kulilia demokrasia wakati lenyewe lina damu ya wafuasi wa Cuf visiwani Zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…