kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Inaknekana we Ni mswahili na siasa za njaa zinakutafuna.. Ni vigumu kunieleawa siku moja utanielewa
Kama hao wanaokufa kwa utata unadhani kwa nini polisi hawafanyi uchunguzi kwa mbowe na CDM ili kuupata ukweli na kumfunga mbowe ambaye anaonekana kutonunulika na ccm?Polisi jinsi wanavyochukia upinzani wangeacha kufuatilia hao unaoita wenye vifo tata?Na je vipi Mzee mtikila,Akwilina,Ben saa nane,Mawazo,Lissu,Karume,sokoine,mwakyembe,Magufuli,na wengine wengi nao ni mbowe alitaka kukatisha uhai wao kwa kuwa wanaitisha nafasi yake?Kama ni hivyo huoni wajibu wa polisi wa kulinda raia na mali zao wameshindwa?polisi kama wameshindwa wewe unakuja unatokwa na utoko hapa wa kipuuzi?