Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Shida ni kuwa Watanzania wengi wanadhani nchi inaenda kwa mtizamo wa mifumo ya CCM tu. Ndiyo maana issue ya uongozi wa Kijimbo bado inakwaruza akili za wengi.
Mh. kaomba uongozi wa kanda, then anataka tena uongozi wa juu wa chama. Akili hii ni kuwa finyu au makusudi?
 
Sumaye hana mvuto wa Kisiasa tangu akiwa PM

PM mstaafu unashindwa ujumbe wa NEC nyumbani kwako Hanang!

Mbowe katumia mbinu za Mkwere

Anakushawishi uchukue form then anakumwaga

Jaji Augustine Ramadhan na Mzee Pinda wanaweza kuandika vitabu kuelezea hilo

Mzee Mangula alishindwa na Jah people Muhuni wa Darasa la Nne C kule kijijiji kwao
 
RIP Chacha Wangwe, Sumu haionjwi.
 
Anachoogopa mzee Sumaye ni " Kuonja sumu kwa kulamba "...........Uwe unaelewa bwashee!
 
Jah people aliishia chekechea!
 
Tena waziri mkuu mstaafu ulinzi alionao hata mwenyekiti wa Chadema taifa hana, uongo wa namna hiyo ni aibu kweli.
 
Ni imara sana, lakini anaogopa sana kugombea urais, badala yeye anagombea ubunge tu! Ahahahahaha!
 
Hivi huwa mnajitafakari kabla ya kuanzisha mada kama hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…