Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Mfiaukweli, Huyo Mwalimu mliyekuwa naye ni Daddy Igogo. Na mlirekodiwa bila kujua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamaanisha Mbowe na mzee Sumaye wote ni walutheri!Hapo kwenye "WEWE NI MLUTHERI MWENZANGU" umemaanisha nini...?
Shida ni kuwa Watanzania wengi wanadhani nchi inaenda kwa mtizamo wa mifumo ya CCM tu. Ndiyo maana issue ya uongozi wa Kijimbo bado inakwaruza akili za wengi.Nasema ni aibu kubwa kwa waziri mkuu mstaafu kukiri hadharani kuwa analazimika kuachana na siasa eti kwakuwa anamuogopa kiongozi wa chama cha upinzani. Anaogopa maneno aliyosema koongozi wa upinzani.
Ila sishangai maana anayeogopwa amewahi kuzoa mawaziri wakuu wastaafu wawili kwa mpigo na kuwafanya kuwa wapinzani.
Kama waziri mkuu mstaafu anamuogopa kiongozi wa upinzani basi kiongozi huyo ni imara sana!
RIP Chacha Wangwe, Sumu haionjwi.Nasema ni aibu kubwa kwa waziri mkuu mstaafu kukiri hadharani kuwa analazimika kuachana na siasa eti kwakuwa anamuogopa kiongozi wa chama cha upinzani. Anaogopa maneno aliyosema koongozi wa upinzani.
Ila sishangai maana anayeogopwa amewahi kuzoa mawaziri wakuu wastaafu wawili kwa mpigo na kuwafanya kuwa wapinzani.
Kama waziri mkuu mstaafu anamuogopa kiongozi wa upinzani basi kiongozi huyo ni imara sana!
Anachoogopa mzee Sumaye ni " Kuonja sumu kwa kulamba "...........Uwe unaelewa bwashee!Nasema ni aibu kubwa kwa waziri mkuu mstaafu kukiri hadharani kuwa analazimika kuachana na siasa eti kwakuwa anamuogopa kiongozi wa chama cha upinzani. Anaogopa maneno aliyosema koongozi wa upinzani.
Ila sishangai maana anayeogopwa amewahi kuzoa mawaziri wakuu wastaafu wawili kwa mpigo na kuwafanya kuwa wapinzani.
Kama waziri mkuu mstaafu anamuogopa kiongozi wa upinzani basi kiongozi huyo ni imara sana!
Jah people aliishia chekechea!Sumaye hana mvuto wa Kisiasa tangu akiwa PM
PM mstaafu unashindwa ujumbe wa NEC nyumbani kwako Hanang!
Mbowe katumia mbinu za Mkwere
Anakushawishi uchukue form then anakumwaga
Jaji Augustine Ramadhan na Mzee Pinda wanaweza kuandika vitabu kuelezea hilo
Mzee Mangula alishindwa na Jah people Muhuni wa Darasa la Nne C kule kijijiji kwao
Leo huyu mtu anyejiita kigogo amekuwa credible source sababu anawasakama wapinzani, wakati amemzushia mh Rais kakata moto mlikuwa mmeufyata...Mbowe sio mtu ni mwana chama wa triple k,ni muuaji mkuu huyo ,so mh sumaye kumuogopa ni sahihiView attachment 1282874
Ni imara sana, lakini anaogopa sana kugombea urais, badala yeye anagombea ubunge tu! Ahahahahaha!Nasema ni aibu kubwa kwa waziri mkuu mstaafu kukiri hadharani kuwa analazimika kuachana na siasa eti kwakuwa anamuogopa kiongozi wa chama cha upinzani. Anaogopa maneno aliyosema koongozi wa upinzani.
Ila sishangai maana anayeogopwa amewahi kuzoa mawaziri wakuu wastaafu wawili kwa mpigo na kuwafanya kuwa wapinzani.
Kama waziri mkuu mstaafu anamuogopa kiongozi wa upinzani basi kiongozi huyo ni imara sana!
Hivi huwa mnajitafakari kabla ya kuanzisha mada kama hizi?Nasema ni aibu kubwa kwa waziri mkuu mstaafu kukiri hadharani kuwa analazimika kuachana na siasa eti kwakuwa anamuogopa kiongozi wa chama cha upinzani. Anaogopa maneno aliyosema koongozi wa upinzani.
Ila sishangai maana anayeogopwa amewahi kuzoa mawaziri wakuu wastaafu wawili kwa mpigo na kuwafanya kuwa wapinzani.
Kama waziri mkuu mstaafu anamuogopa kiongozi wa upinzani basi kiongozi huyo ni imara sana!
Kuwa mluteri mwenzako haitusaidii sisi.Hayo ni matatizo yenu wewe na Sumaye.
Mbowe sio mtu ni mwana chama wa triple k,ni muuaji mkuu huyo ,so mh sumaye kumuogopa ni sahihiView attachment 1282874
Ni imara sana, lakini anaogopa sana kugombea urais, badala yeye anagombea ubunge tu! Ahahahahaha!
Mkuu utakuwa mtoto au? Mbowe alishagombea Urais mwaka 2005(?)Ni imara sana, lakini anaogopa sana kugombea urais, badala yeye anagombea ubunge tu! Ahahahahaha!