Eti Bora MBOWE apewe mwenyekiti?hakuna mtu yoyote wakumpa MBOWE uwenyekiti Bali uenyekiti ni nafasi yake yakudumu.Roving Journalist,
Bora mbowe apewe uenyekiti kuliko hao mamluki wa ccm, haiwezekan kaja juzi tu anataka uenyekiti hizi ndo mbinu za ccm kuvuruga vyama vya upinzani
Kwani kidogoYatakushinda!
Ninavyompenda Dr Magufuli mimi jamani...... yaani mtu akimsemea ubaya namwona kama adui mkubwa wa maendeleo ya nchi hii
Tunamjua ni 0 brainHana Jipya kwenye siasa za Tanzania akafie mbele alizoea kubebwa ccm miaka yote.
Uyu alikuja chadema kimkakati kumzuia Lowassa asiende Ikulu.
Ndio mkuu, hii ndio democracyMpende nihiari na haki yako.
Sumaye mwaga mboga
Tumechoka kunyanyaswa na dikteta Mbowe
Haahhhahah. Mimi siogopi matusi. Huwa natukanwa sana humu. Kasema atakuwa mshauri wa chama chochote including Chadema. Tanzania hakuna upinzani. Yaani waruhusu mgombea binafsi na sisi tugombee.Subiria matusi,umezungumza ukweli mchungu.
Sumaye lazima atarudi CCM dada yangu,kwani kwenye siasa hamna adui wa kudumu.
Ndio ila hilo naona kana ameamua kumchafua mbowe maana mbowe angekuwa na mdhara hii serikal inavyomwogopa ingeshamkamata siku nyingi tuu
hana miaka hata mitano anataka uenyekiti.......
cdm walibugi 2015 kwaio wanachofanya sasa ni kusahihisha yale makosa, kwa gharama yoyote including kumfyeka sumaye! Wyatt Mathewson,
Bora kuwa malaya wa kanda ya ziwa kuliko kuwa mtumwa wa Mbowe,Wallah.Nyie malaya wa kanda ya ziwa shombo tuu. Kwenu maendeleo ya cdm sijui mnayachuliaje?
Kweli usemi wa Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mkapa umetimia! Pole sana Mzee Sumaye!Leteni updates wakuu.
Ila alichofanyiwa CHADEMA hakikuwa sahihi, pamoja na madhaifu yake kama alikuwa hatakiwi aenge elezwa tuu na si kudhalilishwa namna ile, ni kweli CDM tuna hasira kweli kweli na 'dola' lakini haikuwa sahihi kumbwagia hasira zetu Sumaye.