Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mpaka mtu anakuwa waziri mkuu kwa vipindi viwili maana yake hakuwahi kuichoma moto kadi ya CCM.

Alichokifanya leo Mzee Sumaye unaweza kuwa ni mkakati wa kisiasa wa kujibu mapigo ya upinzani haswa pale waliposusia uchaguzi wa serikali za mitaa.

Kwamba hawa wanaosusia uchaguzi ndio ambao mtu anapotaka kugombea nafasi ya juu anawekewa zengwe kwa kuambiwa kuwa sumu haionjwi. A political strategy.
 
Subiria matusi,umezungumza ukweli mchungu.

Sumaye lazima atarudi CCM dada yangu,kwani kwenye siasa hamna adui wa kudumu.
Haahhhahah. Mimi siogopi matusi. Huwa natukanwa sana humu. Kasema atakuwa mshauri wa chama chochote including Chadema. Tanzania hakuna upinzani. Yaani waruhusu mgombea binafsi na sisi tugombee.
 
Ndio ila hilo naona kana ameamua kumchafua mbowe maana mbowe angekuwa na mdhara hii serikal inavyomwogopa ingeshamkamata siku nyingi tuu

Wanamuonea tu mbowe,baba watu ameteseka sana,kapoteza hoteli yake,Hadi bustani yake ya mboga mboga haikusalimika,

Yaani nikifikilia Hadi machozi hutoka ,amechezea sana lokapu huyu baba mpaka kidevu kikaota mvi.

Hakuna kitu anafaidi personal as a chairman

Ruzuku yenyewe hiyo hata haitoshi kuendesha vikoba,sijui wanafikili anafaidi Nini.

Mbowe anajua chama Kiko on transit na kimezungukwa na mbweha wenye njaa Kali na akilegea tu chama kimenyakuliwa,Ask seif sharrif Hamad
 
hana miaka hata mitano anataka uenyekiti.......

cdm walibugi 2015 kwaio wanachofanya sasa ni kusahihisha yale makosa, kwa gharama yoyote including kumfyeka sumaye! Wyatt Mathewson,

Mkuu

Upo sahihi kabisa!

Haya majitu yanadhani yanakuja tu na kudai yachaguliwe wakati yanaonesha kabisa yana chembe chembe ya kuunga juhudi!

Haya majitu yanadhani wanachama hawana akili ya kujua huu upumbavu!

Kakosa kura anaanza kulalamika,wewe unadhani iliandikwa uchaguliwe wewe tu kwasababu unaitwa Sumaye???

Hii mijitu bwana!
 
Hii cha mtoto ...kuna heavyweight boom inakuja! Kuna kagenge kanafikiri kanailinda Chadema kumbe ndio wanaitokomeza.

Very soon ACT ndio kinakuwa chama kikuu cha upinzani! All prominent politicians wanaenda kuungana na Zitto baada ya Mbowe kugomea mabadiliko. Mbowe anaenda kufunzwa siasa na Zitto [emoji41][emoji41]
 
Alijitakia mwenyewe,kwa mtu aliyekaa 10years as a PM alihitaji kuwa kiongozi wa kanda ili iweje? Mzee alitakiwa awe mshauri tu
Ila alichofanyiwa CHADEMA hakikuwa sahihi, pamoja na madhaifu yake kama alikuwa hatakiwi aenge elezwa tuu na si kudhalilishwa namna ile, ni kweli CDM tuna hasira kweli kweli na 'dola' lakini haikuwa sahihi kumbwagia hasira zetu Sumaye.
 
Back
Top Bottom