mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 708
- 445
Huu upuuzi umeandika kuwindwa nini sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha
Si mwanachama wa CDMMkuu kapige kura,
Kwa siasa za Tanzania, Sumaye hana madhara yeyote wala ushawishi, iwe kwa Ccm hata Chadema pia.
Uchaguzi bado,inaruhusiwa kabisa,katoka Kikwete kaja magufuli,lakini katoka M kaja M,biashara hii inaruhusiwa ?Kama sumaye anataka democrasia ya kweli akagombee nafasi ya uenyekiti wa ccm ya Dr. John pombe Joseph magufuli.
Jamani kumbe nchi hii kila kona ni madikteta tuSumaye kamwanga manyanga mwenyewe kugombea Uenyekiti.Kaogopa kumfuata Chacha Wangwe kaburini. Mbowe ni dictator.